Now this is hacking, UCC vipi hapo?

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
4,087
Reaction score
4,535

​

Website ya UCC imekuwa hacked,wasimamizi vp?
 
Attachments

  • 1421903993094.jpg
    48.2 KB · Views: 674
Website nyingi security zipo very poor kwa sababu hawaweki security kama mojawapo ya priority ila wanabase sana kwenye interface.
 
afiu hao hao wanafundisha network security
 
afiu hao hao wanafundisha network security

Hapo sasa ndo ishu inapojitokeza,kabla ya kujiandikisha kwenda kufanya proffesional course ya security and the likes lazima ujiulize.
 
Hapo sasa ndo ishu inapojitokeza,kabla ya kujiandikisha kwenda kufanya proffesional course ya security and the likes lazima ujiulize.
Kazi ipo,kuna kazi fulani walifanya niliona kwa kweli ilikuwa na mapungufu,kuna jamaa walikuwa vizuri hapo walihama si unajua inawezekana hawawalipi vizuri.Check branch ya Mbeya ,je hii ni website ya organisation kubwa kama UCC?Click Mbeya Staffs angalia staff wa mwisho yuko juu ya footer,nimeingalia web kwenye screen pana zaidi web iko aligned left.
That is why I always say cheap is expensive,siku zinavyoenda wataelewa na watatutafuta wenye uwezo wa kufanya kazi zilizo bora siyo bora kazi.
 
Website nyingi security zipo very poor kwa sababu hawaweki security kama mojawapo ya priority ila wanabase sana kwenye interface.

ukiangalia hio screenshot hata hio interface ndio zile zile
 
Nimetazama hao staff wa Mbeya nimegundua hii website haiwi updated frequently,huyo Tutor GODFREY MWANYERERE
ninachojua alihama hapo kitambo sana.
 
Nimetazama hao staff wa Mbeya nimegundua hii website haiwi updated frequently,huyo Tutor GODFREY MWANYERERE
ninachojua alihama hapo kitambo sana.
Ofcourse suala la ku update hawako makini,kuna kipindi nilienda hapo HQ kufuatilia course fulani taariza zilizoko kwenye mtaandao wao na za ofisini ziko out of phase.
 
ukiangalia hio screenshot hata hio interface ndio zile zile

Makampuni mengi na taasisi zinahitaji website tatizo ni unapowatajia gharama ya kutengeneza professional website wanaona is very expensive ndo maana wanapata hizi aibu za kuwa hacked coz wanachagua cheap which is poor.
 
naona washarudi hewani... wawe makini hizi attacks nyepesi ambazo mtu anagoogle nusu saa zina-aibisha sana
 
Makampuni mengi na taasisi zinahitaji website tatizo ni unapowatajia gharama ya kutengeneza professional website wanaona is very expensive ndo maana wanapata hizi aibu za kuwa hacked coz wanachagua cheap which is poor.

Nimewahi kusoma post kwenye forum moja ya India jamaa kaorodhesha sehemu ambazo jiandae kuvunjwa moyo unapopeleka wazo la software au chochote kwenye sula la gharama,namba moja ni academic institutions.
--Naunga mkono hii coincidence.--
 
ukweli mimi nimetoka kulipwa pesa na chuo ambacho wanafundisha masomo ya it pure niwatengenezee website yao pamoja na student Is afu hao hao wananishaur ninpeleke mdogo wangu au ndugu yangu akasome hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…