Now i believe: We differ

Now i believe: We differ

nakupa high 5 bestito ni kweli tupu kuwa we differ
ladyfurahia ili dunia ipendeze ni lazima kuwe na hali tofauti, tukiwa wote wapole mambo hayatanoga, tukipendana wote kwa dhati hakutakuwa na changamoto. kumbuka hata Mungu aliamua kuufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili tu kunogesha mambo kwa kupata changamoto. Binafsi naamini haya mambo yapo ili dunia iwe na changamoto.
 
ushaanza na wewe umetaka wmwenyewe kuniuzia sasa waitoa kwa mwingine kwaninje?
....
Usiwe na wasi!!
Yule haitaki signature yangu, thus why kaquote asipoqotiwa!
Hahahahahahahaaaa!
Afu kuna jamaa mwengine naipenda sana signature yake, nimeisahau! Sjui inasema 'mashairi ya malenga... Kama finyefinye... Ziba mku.ndu usinye' aaagh imenipotea, kama vipi ukiiona sehemu asisite kunistua!
NB: Hiyo signature ni yakuchekesha tu, haina ujumbe wowote!!!!!
 
Hata mi kuna signature ya fulani naipenda sana inasema "Kama huna la kusema nyamaza kimya,usishindane na tembo kunya utapasuka mku***du " ha ha ha :smile-big:
 
hao manyau sijui kama wana mungu
maana ukimuona usoni utasema mtu kumbe rohoni
hata mkuu wa mashetani hamfikii,asante lady furahia
kwa ujumbe nadhani wenye roho za kutu wameisoma namba
na kama kujirekebisha wajirekebishe,wasipende kulazimisha
vitu visivyowezekana ambavyo kwao itabakia kua ndoto daily!!
 
Last edited by a moderator:
Itabidi nitoe kitabu kwa kwelil maana nimejifunza mengi kupitia hii dunia bestito
ladyfurahia ili dunia ipendeze ni lazima kuwe na hali tofauti, tukiwa wote wapole mambo hayatanoga, tukipendana wote kwa dhati hakutakuwa na changamoto. Kumbuka hata mungu aliamua kuufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili tu kunogesha mambo kwa kupata changamoto. Binafsi naamini haya mambo yapo ili dunia iwe na changamoto.
 
thanks my cousin
ujumbe wako kuleeee naufanyia kazi ondoa shaka

hao manyau sijui kama wana mungu
maana ukimuona usoni utasema mtu kumbe rohoni
hata mkuu wa mashetani hamfikii,asante lady furahia
kwa ujumbe nadhani wenye roho za kutu wameisoma namba
na kama kujirekebisha wajirekebishe,wasipende kulazimisha
vitu visivyowezekana ambavyo kwao itabakia kua ndoto daily!!
 
besti hujui kuwa mm ni mwandishi wa vitabu
na nimebobea katika fani hiyo ya uandishi na
isitoshe nilishawatafutaga waaandishi waliobobea
wakanipa somo ndo maana waniona niko hivi
mbona nimeshatoa kitabu kinachohusu woga besti
na kipo madukani kinafanyiwa kazi
hahaha kweli kabsaaa, ila we unafaa kua mshairi au mtunz wa vitabu.,mtafute kaka shigingo erick akupe mwongozo .........
 
besti hujui kuwa mm ni mwandishi wa vitabu
na nimebobea katika fani hiyo ya uandishi na
isitoshe nilishawatafutaga waaandishi waliobobea
wakanipa somo ndo maana waniona niko hivi
mbona nimeshatoa kitabu kinachohusu woga besti
na kipo madukani kinafanyiwa kazi
hongera bi dada nami nataka copy ya hiko kitabu nikisome nikuze knowledge yangu...Itabidi uniwekee na signature pia ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Itabidi nitoe kitabu kwa kwelil maana nimejifunza mengi kupitia hii dunia bestito
Ni jambo zuri na adimu kwa watanzania kufikiria kutoa vitabu kwa yale wanayopenda wengine wajifunze. Napenda niwe pamoja na wewe ktk kila hatua za kufanikisha hicho kitabu kinakamilika. sitaki kuwa nyuma yako wala mbele yako bali niwe bega kwa bega na wewe ikiwa hutajali..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom