Now days mbs za Tigo zinaishafasta

Now days mbs za Tigo zinaishafasta

kambi7

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
773
Reaction score
589
Kunahaja ya kuhama [HASHTAG]#usinipangie[/HASHTAG]
 
Sio tigo tu ni mitandao yote yaani ndani ya wiki nimesajili more than one line ili kucheki ipi iko sawa lakin nilichokuja gundua hakuna wenye unafuu,hili nadhani ni agizo toka mamlaka za juu a.k.a malaika
 
Ni kweli aisee mb zinaisha haraka sana hasa Tigo
 
Nshahamia Halotel Tgo nmeona ni matapeli wa Mbs network yao speed ya Kobe
 
Weka app inayoonesha matumizi yako kwa kila MB katika simu hapo ndio utajua unaibiwa au lah...

Na pia wakati mwingine iwe ni katika simu au kompyuta huwa kuna apps zinazorun nyuma ya pazia pasipo mtu kujua...hizo nazo hula MBs kimya kimya
 
Back
Top Bottom