Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

"I take this girl, if
police come, tell Chonya of Chilonwa. Me!" -- fumbua hii nukuu (km
nitakuwa sijakosea spelling).

Thank you. Kuli, Njama,Kusadikika,Kufikirika,Ngoswe, Hawala ya fedha, Is it Possible, 3 suitors 1 husband, Things fall apart, The river between etc. Napenda sana kusoma novels.
 
Mission to Kala.......................by Mongo Betti,na kazi kadhaa za Sembene Ousmane!!sikuwa secondary hata hivyo,nilikuwa primary japo mamangu alikuwa anasoma haya 'madudu' hadi nikajua atachanganyikiwa,kumbe navyomuwazia ndo ananiambukiza na mimi!!
 
Nilikua nafungisha na padri m1 akasema kamwe hawazi kufundisha kitabu cha song of lawino & ocol kama mtu anataka kusoma ajisomee mwenyewe na kwenye mtihan wake asijibie labda ajibie necta?
 

Wewe ndo hazikukuvutia, wenzio tuliokuwa tunaelewa tulizifurahia na kuzipenda, na hadi leo tunazisoma.
BTP: Mie nlipenda THE RIVER BETWEEN ya Ngugi wa Thiong'o, Maina Characters Muthoni na Waiyaki, pia Kusadikika cha Shabaan Robert.
 
Kusadikika mwandishi Shaban Robert,niliipenda kwasababu mwandishi alikuwa na upeo wa ajabu halafu lugha zake anazotumia huwa zimekaa kifasihi zaidi
 
Wewe ndo hazikukuvutia, wenzio tuliokuwa tunaelewa tulizifurahia na kuzipenda, na hadi leo tunazisoma.
BTP: Mie nlipenda THE RIVER BETWEEN ya Ngugi wa Thiong'o, Maina Characters Muthoni na Waiyaki, pia Kusadikika cha Ben R Mtobwa.

Mkuu kusadikika ni Shaban Robert na siyo Ben Mtobwa....Ben Mtobwa labda watoto wa mamantilie ila sina uhakika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…