Nôtre dame de Paris inateketea kwa moto


Killmonger

Killmonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Messages
1,240
Points
2,000
Killmonger

Killmonger

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2015
1,240 2,000
Daa watu wanalia na kushtuka ni world heritage site yaani ufike paris bila kwenda kuona cathedral
View attachment 1072469

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mimi sijawahi fika . Nimelisoma tuu nakuona picha na video. Nilivutiwa sana historia ya hili jengo asee. It was my dream to visit it.
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,970
Points
2,000
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,970 2,000
Black Sniper,

Ni kweli historia kubainisha matukio ni kitu muhimu na kuumiza moyo vikipotea

Hata lile daraja la wapendanao jijini Paris, Ufaransa lililosheheni makufuli kuashiria viapo vya wapendanao kuweka kiapo chao milele kufunga kufuli na kuzitupa funguo mtoni. Kiasi mwanamuziki huyu nguli Bob Rudala ilibidi afike hapo kama ilivyo kwa mamilioni ya watalii wanaotembelea daraja la makufuli ya wapendanao lililo sehemu tajwa-kitalii jijini Paris ikiwemo Notre Dame Cathedral.

Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala

 
Killmonger

Killmonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Messages
1,240
Points
2,000
Killmonger

Killmonger

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2015
1,240 2,000
Mimi mpaka nimelia,nilishawahi kwenda visit pale. Halafu ukizingatia wiki hii takatifu.
It is real sad for this structure with its importance to perish/ be destroyed. Pole sana. I can feel you... mimi tu wa kulisoma nimeumia. What about you who paid the visit!!
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
11,731
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
11,731 2,000
Mimi sijawahi fika . Nimelisoma tuu nakuona picha na video. Nilivutiwa sana historia ya hili jengo asee. It was my dream to visit it.
Inauma kwa kweli kuona historia inateketea hivi
Nakumbuka tukio kama hili nilikuwa London wakati Windsor castle linawaka moto, lakini bahati halikuteketea lote na walitengeneza upya na sasa lipo kama zamani
Ila hili kanisa ndio kwaheri
Naona viongozi wengi duniani wana tweet
Na wenye uoendo na historia

Lakini ninapoona heritage site zinaharibika hivi kama daesh walivyovunja sites za makumbusho huko Syria na Iraq duuu inauma kwa kweli
Kila nikakotembelea dunia ni lazima niende kwenye majengo ya kihistoria
So sad

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
7,178
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
7,178 2,000
Hili kabisa nimelisoma kwenye Da Vinci Code kitu kama hicho.

Mambo ya Holy Grail and so.
 
Killmonger

Killmonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Messages
1,240
Points
2,000
Killmonger

Killmonger

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2015
1,240 2,000
Inauma kwa kweli kuona historia inateketea hivi
Nakumbuka tukio kama hili nilikuwa London wakati Windsor castle linawaka moto, lakini bahati halikuteketea lote na walitengeneza upya na sasa lipo kama zamani
Ila hili kanisa ndio kwaheri
Naona viongozi wengi duniani wana tweet
Na wenye uoendo na historia

Lakini ninapoona heritage site zinaharibika hivi kama daesh walivyovunja sites za makumbusho huko Syria na Iraq duuu inauma kwa kweli
Kila nikakotembelea dunia ni lazima niende kwenye majengo ya kihistoria
So sad

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
You are right Mkuu. It is sad indeed.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
11,731
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
11,731 2,000
Black Sniper,

Ni kweli historia kubainisha matukio ni kitu muhimu na kuumiza moyo vikipotea

Hata lile daraja la wapendanao jijini Paris, Ufaransa lililosheheni makufuli kuashiria viapo vya wapendanao kuweka kiapo chao milele kufunga kufuli na kuzitupa funguo mtoni. Kiasi mwanamuziki huyu nguli Bob Rudala alibidi afike hapo kama ilivyo kwa mamilioni ya watalii wanaotembelea daraja la makufuli ya wapendanao lililo sehemu tajwa-kitalii jijini Paris ikiwemo Notre Dame Cathedral.

Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala

Aisee ule uzito ulizidi kwa makufuli maana daraja lingeanguka sasa
Lipo lingine Brooklyn kama hilo limejazwa makufuli pia
Kuna wengine walitibuana sasa kulipata hilo kufuli ili ulivunje ndio mtihani

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
5,970
Points
2,000
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
5,970 2,000
Dah vipi Mv Ukerewe ilipozama kachozi kalitoka pia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo majanga yakitokea Tanzania, serikali hujaribu kufunika na kulifanya la kisiasa lakini kama kungekuwa na uwazi na ripoti kamili kupitia tume huru wengi wangetoa macho / machozi na kuweka kumbukumbu sahihi za kihistoria kuhusu mambo mbalimbali yawe mazuri, yakuhuzunisha, kufurahisha au mabaya.
 
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
4,518
Points
2,000
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
4,518 2,000
Kanisa linalotembelewa na watu wengi duniani kila mwaka lililopo Paris, Notre dame de Paris linateketea muda huu. Ama kweli majanga hayana mwenyewe.

-----

Spire of Paris's 850-year-old Notre Dame cathedral COLLAPSES as fire ravages historic building with flames erupting through the roof - with Macron lamenting seeing 'part of us burn'

The spire of Paris's famous Notre Dame cathedral has collapsed after a massive blaze broke out at the cathedral earlier this evening.

Pictures posted on social media showed enormous plumes of smoke billowing into the city's skyline and flames engulfing large sections of the historic building as firefighters struggled to contain the inferno.

According to French newspaper Le Monde, the fire broke out in the attic of the monument before spreading across the roof.

Officials in Paris said the fire could be linked to restoration works as the peak of the church is currently undergoing a 6 million-euro ($6.8 million) renovation project.

A spokesperson for the cathedral said the blaze was first reported at 5.50pm (GMT) and the building was evacuated soon after.

French President Emmanuel Macron postponed a televised speech to the nation because of the stunning blaze and was going to the cathedral himself.

Macron tweeted shortly after the blaze: 'Our Lady of Paris in flames. Emotion of a whole nation. Thoughts go out to all Catholics and all of France. Like all our countrymen, I'm sad tonight to see this part of us burn.'

Macron's pre-recorded speech was set to be aired Monday evening, to lay out his long-awaited answers to the yellow vest crisis that has rocked the country since last November.

Cathedral spokesman Andre Finot told Le Monde: ‘Everything is burning. The frame - which dates to the 19th century on one side and the 13th century on the other – there will be nothing left.

‘We will have to wait and see whether the vault, which protects the Cathedral, will be touched by the fire on not.’

Paris Mayor Anne Hidalgo says firefighters are trying to contain the 'terrible fire' and urged residents of the French capital to stay away from the security perimeter around the Gothic-style church. The mayor says city officials are in touch with Roman Catholic diocese in Paris.

While deputy mayor Emmanuel Gregoire told BFMTV the thousand-year-old building had suffered ‘colossal damage’ already.

He added: ‘A special mission has been launched to attempt to save all the works of art we can.’

He said the authorities were giving highest priority to securing the area and protecting tourists and residents from the risk of a collapse.’

The cathedral is one the finest example of French Gothic architecture in Europe, and one of the most visited buildings in the world.

Notre Dame - which means 'Our Lady' - was build in 1160 and completed by 1260, and has been modified on a number of occasions throughout the century.

It is the cathedral of the Archdiocese of Paris, and is visited by some 12million people every year and is the most visited historic monument in Europe.

The cathedral is home to incalculable works of art and is one of the world's most famous tourist attractions.
Ingekuwa ni Africa Ingekuwa ni uzembe, kwa kuwa ni ulaya ni Freemasons wamefanya yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,285,016
Members 494,369
Posts 30,847,424
Top