BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hahahahahaha miss you too, michuzi imekukubali hata muda wa kuja humu hunao tena na ile Range Rover ulishaachana nayo nasikia unasukuma maybach. Nimepeleka vijisenti tu 😜
Umeahidi kiasi gani bilionea wanguuu... miss u