NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 234
basic salary ni ipi, na gross salary ni ipi?Tunashukuru kwa ushauri wako mkuu,kwa mujibu wa taratibu za kuacha kazi kwa kutoa taarifa ya saa 24 unapaswa kurudisha basic salary kwa kuwa makato ya pensheni yanaenda kwenye akaunti yako na mfuko husika wa pensheni,pia income tax utakayokuwa umekatwa ni kwa kuwa ume'earn' mshahara husika ila umeacha kazi ndani ya saa 24 kwa uamuzi wako binafsi ndiyo maana unapaswa kuwarudishia basic salary(na sio gross salary wala net pay).Pia mstaarabu huwa anaondoka kistaarabu kwa hiyo walipe huo mshahara kisha uondoke kifua mbele mkuu!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
basic salary ni ipi, na gross salary ni ipi?
Salary nazo zina vAT? Acha fixbasic salary=gross salary. but net salary=takehome salary; this will be done after deduction of VAT, NSSF.
basic salary=gross salary. but net salary=takehome salary; this will be done after deduction of VAT, NSSF.
A bit confusing!
Tunashukuru kwa ushauri wako mkuu,kwa mujibu wa taratibu za kuacha kazi kwa kutoa taarifa ya saa 24 unapaswa kurudisha basic salary kwa kuwa makato ya pensheni yanaenda kwenye akaunti yako na mfuko husika wa pensheni,pia income tax utakayokuwa umekatwa ni kwa kuwa ume'earn' mshahara husika ila umeacha kazi ndani ya saa 24 kwa uamuzi wako binafsi ndiyo maana unapaswa kuwarudishia basic salary(na sio gross salary wala net pay).Pia mstaarabu huwa anaondoka kistaarabu kwa hiyo walipe huo mshahara kisha uondoke kifua mbele mkuu!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Na mimi na mpango kama huo;Kama sikuwahi kuwa na mkataba na ninapofanyia kazi (private school) naweza kutokomea ki hivyo?
Kama huna mkataba mkuu unakula kona tu,ingawa kuaga ni vizuri ili wakuandikie reference CV yako ipendeze lakini there is no need kuwalipa chochote.Kama unaweza kuwaandikia one month notice unaweza fanya hivyo kwa kuwa yenyewe hata kama mngekuwa na mkataba huwalipi chochote.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sasa mkuu,
Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?
mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
tokomea tu ...Na mimi na mpango kama huo;Kama sikuwahi kuwa na mkataba na ninapofanyia kazi (private school) naweza kutokomea ki hivyo?
Sasa mkuu,
Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?
mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
ukiondoka bila kuwapa huo mshahara wa mwezi mmoja hutaweza kupata haki zako nyingine kama mifuko ya jamii...Sasa mkuu,
Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?
mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
Kuacha kazi kwa 24 mi si busara hasa kama una nafasi ya juu. Kwa muungwana unaacha kwa notice ya mwezi ili umpe muajili nafasi ya kujiandaa. Hiyo itampa hata huyo muajili mpya confidence juu yako kuwa upo considerate. Ila kama unaishu fanya hivyo ila jiandae na kulipa mshahara mmojaWakuu wana JF,
Nina mpango wa kupiga chini hii job ninayoifanya maana naona inanilostisha na haina maslahi wala future kwangu.
Nataka nitumie ile njia ya kupiga chini job by giving a notice withini 24 hours soon baada ya kutafuna salary yao ya this month/january.
Swali:
Je ninapotoa hiyo notice ya 24 hours ina-nipasa niwalipe salary ipi- basic salary au ni take home?
Na endapo nikitoka tu kimtindo bila kuwalipa hiyo hela watanishtaki au? (Ni taasisi ya serikali).
Salary nazo zina vAT? Acha fix[/QUOTE]
aahahahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaa_good,..umemshtukia mkuu
basic salary=gross salary. but net salary=takehome salary; this will be done after deduction of VAT, NSSF.