Noti mpya tayari kwenye mzunguko wa fedha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti mpya tayari kwenye mzunguko wa fedha?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rutunga M, Jan 3, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kwa walioko Jiji Dar E salaam sasa hivi, hivi note mpya tayari zipo kwenye mzunguko?
  Ni kweli kwamba mzunguko huo unaweza kupunguza ugumu wa upatikanaji wa fedha uliopo hivi sasa.
  Je wachumi mnasemaje,faida za uwepo wa noti hizo kwa wananchi wa kawaida ni nini?
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  zipo bado na sahihi ya mramba na balali.....
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Si nasikia nazo baadhi zimeibiwa airport dar?
   
 4. M

  Mtalimbo Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka picha hapa za noti tuzione kwanza ndiyo tutowe komenti zetu.
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Soma thread yangu nimeweka mida ya saa moja. Jukwaa la habari mchanganyiko
   
Loading...