Notes za UDSM

Ahsante sana kaka, tayari nimeku pm email yangu, ubarikiwe sana.
 
ahsante sana kaka, nishaku pm email yangu, nashukuru sana.
 
DS kuna take home test..na mwisho wa siku UE maswali ni hayo hayo!! Kimbembe cha DS unaweza ukatoka kwenye paper unajua una A then unapata karai!!
 
habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.
Acha uvivu wewe. Soma vitabu. Past papers za nini? Hii nchi tuna kazi kubwa sana, kama wasomi wenyewe ndio nyie mnaotafuta notes na past papers hapa JF

 
nishaku pm kaka, ahsante na ubarikiwe.
 
ahsante sana kaka kwa ushauri ni kweli.
 
habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.

chuo kikuu tunasoma kozi kwa kumfuata mwalimu husika na si notes jitahidi kila kitu kupata kwa lecturer wako
 
Acha uvivu wewe. Soma vitabu. Past papers za nini? Hii nchi tuna kazi kubwa sana, kama wasomi wenyewe ndio nyie mnaotafuta notes na past papers hapa JF


Ulilo andika halituhusu
 
hahahahahaha mi sio mluguru kaka, mi ni mmeru. mi mbona sio mbishi ndugu ila majibu ya wengine ndo yananifanya niwe mbishi.
 
naelewa kaka na ahsante kwa ushauri ila darasani naingia daily na kuomba notes ni km inaniongezea ufahamu kwa kile mwalimu anachofundisha kwangu.
 
ahsanteni ndugu zangu nimeshatumiwa notes za D.S nawashukuru kwa wote mliochangia uzi huu mbarikiwe, kama kuna mtu anazo na za ALGEBRA 1 ntashukuru sana ila ata apa nawashukuru wote ndugu zangu. Niliowakwaza naomba mnisamehe mimi km mdogo wenu, ahsanteni.
 
dada khantwe nipo coict bhana........ila unavoniita mtoto duh mana umri umeenda na inawezekana 2lisoma wote kipindi. ila ahsante kwa mchango wako dada nakutania,

Ni vizuri zaidi ungejiandaa kwa programing kuliko ds.
 
kivule usiwe na haraka na DS, coursework za ds kwa udsm unapewa maswali na na kati ya hayo ndo yanakua yanatoka... na final mengi ni maswali yaleyale mara nyingi mnapewa mnapokuwa seminar. so unapoambiwa usubir uanze pindi ndicho watu wanachomaanishA
 
Safi, sana man.
ishu ipo hivi kuna ushauri unapewa na watu humu zingatia.
Chuon si kusoma tu, kufaulu muhimu nice sana umekuwa mjanja na kulijua mapema.

Ila unaonekana ni mgumu wa kujifunza hata ku quote umeshndwa jfunza fasta fasta ili ujumbe ufike vilivyo!?

Ila nice dude
 
Hivi sisi lini tutakuwa serious!? Nilitegemea website za vyuo ziwe na course & module handbooks ambazo zingeainisha modules zinazosomwa katika kila course na coverage & references kwa kila module. Huyu mtu asingekuja hapa, angejiangalizia zake references za hiyo module, tafuta kitabu (softcopy/hardcopy) mdogomdogo angeanza kukandamiza shule. Hii pia inasaidia kabla ya mtu kufanya application, anakuwa na uwezo wa kufanya survey ya nini anategemea kukisoma katika course na module fulani. Lakini pia course moja UDSM inacoverage tofauti na ukiikuta Tumaini, UDOM, Mzumbe nk, kwa nini msiwaoneshe wateja (w/funzi) mapema wajue kwa nini wachague wapi badala ya wapi. Kuna watu wako makazini, wanataka kubadilisha career, na hawana background nzuri ya wanachotaka kukisoma; wakipata hizi information mapema wanaanza kujisoma vitabu hata kabla ya application. Haya maisha ya kumfanyia mteja surprise yalishapitwa na wakati!!
 
we dogo boya kweli wewe, a university student unaomba notes na past papers !? hivi una miaka mingapi kwanza ? aliyekwambia chuo wanasoma past papers ni nani?
 
Tatizo lako ni ubishi Dogo kahudhurie lecture then utajua kitu gani inabidi utafute ila unaonekana mbishi sana...bila Shaka utakua mlugulu ww!!!!

Huyu anajiona ndo kila kitu sasa wewe ukitaka njoo nikupe za mpaka mwaka tatu acturial sc nione zitakusaidia nin?? Tatizo mnakurupuka kufikiri huku ni mwendo wa kukrem!! Piga msuli wa notes tofauti na za lekcha wako uone utukunywa supu mpaka nyingine ukeri ukatumie ukiwa kwenu!!
 
HAHAHAHA kubadilika inabadilika lakini mara chache sana kwa masomo ya common km D.S......naelewa kuliko unavodhani ndugu yangu.

Ishu ni hivi usifikiri kilichosomwa mwaka jana kwa first year au first semister mwaka unaofuaka kitasomwa mwaka wa kwanza au semister ya kwanza!!! Notes zinaweza kuwa zilizile ila arrangement ikawa reverse au inventible na isitoshe lecturer aliyekuwa mwaka uliopita je ndo yeye mwaka huu!! Mim nina fact ndo maana nakuambia hivyo mwaka wa pili wana fundishwa na walimu watatu tofauti kwenye somo moja ambalo ni ethics katika magrup A B na C kila notes zimetofautina wakati ni somo moja na mwaka mmoja!!! Kuwa mtiifu!!#
 
Bongo ni kusomea mitihani tu


habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…