Notes za Geography FORM 1 & 3 Zinahitajika

bachelor sugu

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,673
2,000
Amani ya mola iwe juu yenu wote,

Ni matumaini yangu kuwa wote tumeamka salama na kwa wale mnaokabiliwa na mitihani yoyote basi M/Mungu awafanyie wepesi mpate suluhisho la mitihani hiyo inshaAllah.

Kama kichwa kinavyojeieleza nahitaji mwenye NOTES ZA GEOGRAPHY za kidato cha KWANZA NA CHA TATU zilizo katika mfumo wa PDF maana nina kijana wangu wangu anafanya vizuri katika masomo yake na uwezo wake nina matumaini nao but kilichopo kwenye madaftari yake sikielewi hivyo nadhani ni jambo la msingi kumtafutia msaada km ninaweza hivyo naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kwa yeyote mwenye uwezo nalo.

Tafadhali naomba mwenye notes ambazo ni simplified,detailed and well explained,Zikiwa na ubora mzuri nitakupooza chochote kitu ili ku Appreciate msaada wako.

Atakayekuwa tayari kunisaidia please naomba uni PM ili nikupe njia ya kunitumia.


Sincerely, Bachelor Sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haludzedzele

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,428
1,500
Utajuaje kama zina ubora mzuri means lazima uwe umeziona sasa huko kumpoooza kunakujaje wkt umeshazipita? Mie nnazo zote na zipo vzr sana
 

Kijana matata

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
558
500
.
IMG-20190220-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom