Kama upo Dar kesho njoo nayo kkoo
mimi ni fundi simu upande wa software
kwa wale wanaotaka kununua simu za samsung international/global nashauri muangalie model kupitia download mode sio kupitia settings-about
Hii inahitaji utaalamu maana unaiweka simu download mode kama unataka kuiflash
Ukiangalia hizo FD/F kupitia settings bado mtapigwa tu, maana binafsi kuna wateja wangu wananunua china version wananiambia wanataka niwatolee application za kichina wanataka iwe kama samsung nyingine, huwa nawapigia converted rom inayoishia na FD/F
kwa hiyo hapo ukiangalia kupitia settings kama hizo screenshot zilizowekwa humu jukwaani zitawaonyesha ni FD/F kumbe kitu ni U/N
model halisi ya samsung zinapatikana kupitia download mode