100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,702
- 38,357
Kama una OTG cable ni vizuri uta by pass bila tatizo au azima kwa mtu.toa msaada utabarikiwa tu. litendee haki jukwaa hili nyeti. au unataka liwe butu kama la wanasheria.
Kinachofanyika hapa ni kudownload hili apk file hapa.
Katika computer yako.
Then uwe na flash.Chomeka OTG cable kwenye simu halafu chukua apk file toka kwenye pc na weka kwenye flash drive yako.
Chomeka flash drive kwenye otg cable then
Simu yako ita detect automatically files zilizopo kwenye flash lakini hakikisha lile file hujaweka ndani ya files zingine.
Chagua ile apk file kwa ku tap.
Simu itakupa warning ila bofya kwenye settings na nenda kaiwezeshe kwenye uknown resources.
Baada ya hapo endelea na installation mpaka imalize.
Then baada ya kumaliza Bofya open na endelea na setting menu.
Chomoa otg cable.
Endelea na setting menu na factory reset simu yako.
Its done.
Nilijaribu na kunipa majibu so so do it.