Custom binary blocked by FRP Lock kwenye za Samsung

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Habari wadau,
Naomaba kujuzwa namna ya kutoa hiyo
Custom binary blocked by FRP Lock kwenye simu
ya Samsung S6 edge Plus na Samsung J5.
kila nikijaribu kuhard reset au kuflash simu haifunguia
inaishia katika lock. kama kuna mwenye ujuzi wa kutoa
anifahamishe. natanguliza shukrani.
IMG-20161101-WA0000.jpg
 
View attachment 427700

Nilipatwa na hiyo issue sometimes back nkiwa na Flash TWRP

Solution yake ni ku enable Developer options then uka Switch ON OEM UnLock

Screenshot_20161101-131758.png
 
Habari wadau,
Naomaba kujuzwa namna ya kutoa hiyo
Custom binary blocked by FRP Lock kwenye simu
ya Samsung S6 edge Plus na Samsung J5.
kila nikijaribu kuhard reset au kuflash simu haifunguia
inaishia katika lock. kama kuna mwenye ujuzi wa kutoa
anifahamishe. natanguliza shukrani.
View attachment 427700
Tumia Samsung keys hapo
 
kies inahitaji s/n, na mara nyingi s/n inakuwa nyuma ya battery.
Na hii simu battery yake ni ya ndani haitoki
Yap ila zingine hundikwa tu nyuma ya simu bila hta kuifungua...pia kweny box sn zipo
 
Jaribu hii bonyeza power, home, and volume down buttons mpaka warning screening itokee afu bonyeza home button kuona bar code screen
 
Back
Top Bottom