Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Taarifa simu nyingiza samsung og imei zake zili corrupt lakini zamani zilikuwa zina fanya kazi (chukua hatua)Wakuu habari za wakati huu.
Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim.
Kila nikipiga naambiwa not registered in network. Nimejaribu kubadilisha line lakini zote naambiwa sijasajiliwa kwenye network. Inasoma mtandao na huduma za internet ziko poa ishu ni voice calls.
Imekuaje au nifanyeje?. Msasda wenu wakuu.
Sijaelewa ulichokiandika mkuu.Taarifa simu nyingiza samsung og imei za zili corrupt lakini zamani zilikuwa zina fanya kazi (chukua hatua)
Hata Note II yangu mkuu inatatizo kama lako, sijui nini tatizoWakuu habari za wakati huu.
Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim.
Kila nikipiga naambiwa not registered in network. Nimejaribu kubadilisha line lakini zote naambiwa sijasajiliwa kwenye network. Inasoma mtandao na huduma za internet ziko poa ishu ni voice calls.
Imekuaje au nifanyeje?. Msasda wenu wakuu.
Nimewasiliana na watu wa tcra wamesema simu yangu ina dublicate imei hivyo kuanzia jana wamefungia au kufuta sim zote zenye imei dublicate au zaidi.Hata Note II yangu mkuu inatatizo kama lako, sijui nini tatizo
Hao mabingwa wanapatikana wapi? Tcra wameniambia sim yangu ni dublicate. Sijui kama inaweza kua repaired au la.Simu yako inatakiwa kufanyiwa marekebisho, inawezekana kabisa imei yake iliopo nyuma ya battery na Ile inayo patikana kwa *#06# ipo tofauti, hiyo inaweza kuwa duplicate ikazimwa na tcra na hii utokea sana kwa Samsung nyingi kwa sababu, nyingi ni used kutoka nje na zinakuwa zimefanyiwa mabadiliko ya namna fulani hiyo tafuta msaada kwa mapigwa wa ku repair simu za Samsung original, si kila kitanda ukiona neno Fundi simu wanaweza
NIMESEMA HIVI SIMU NYINGI ZA SAMSUNG OG MMEKUWA MNAZITUMIA imei ZAKE HAZIFANANI NA ZA KWENYE CHINI YA BETRI AMA PIA ZIME CORRUPT HAPA KUNA VITU VIWILI KU REBUILD imei AMA KUNUNUA SIMU NYINGINESijaelewa ulichokiandika mkuu.
Lakini pia nichukue hatua gani?
Ok, na rebuild vp imei mkuu.NIMESEMA HIVI SIMU NYINGI ZA SAMSUNG OG MMEKUWA MNAZITUMIA imei ZAKE HAZIFANANI NA ZA KWENYE CHINI YA BETRI AMA PIA ZIME CORRUPT HAPA KUNA VITU VIWILI KU REBUILD imei AMA KUNUNUA SIMU NYINGINE
Kihalisia simu nyingi zilizoko mikononi mwa watu nyingi mme nunua mikononi na maanisha siyo dukani pia mmekuwa mna badilisha housing zenye imei tofauti na ya kwenye simu hapa ndiyo patamu kukujibu ni ile ya kwenye simuOk, na rebuild vp imei mkuu.
Imei origino ni ipi hasa ya chini ya betri au ya kubonyeza *06#.
TCRA wamezipitia believe meHata Note II yangu mkuu inatatizo kama lako, sijui nini tatizo