Ndio kina nani hao? Labda nikuulize nami swali... je nawe unakubaliana na mauwaji ya raiya wa KiAfghanistan, wanao uwawa kila kukicha na vikosi vya Kimagharibi?Kiongozi wewe unakubaliana na kitendo cha hawajamaa ? Hizb-e-Islami
Wanapo uliwa watoto na wanawake wa KiAfghanistan, hatusikii hata vyombo vya habari vikiripoti matukio hayo.
Ndio kina nani hao? Labda nikuulize nami swali... je nawe unakubaliana na mauwaji ya raiya wa KiAfghanistan, wanao uwawa kila kukiha na vikosi vya Kimagharibi?
Mkuu je hujafahamu kuwa dunia hii Binadamu ni wa west tu?Wanapo uliwa watoto na wanawake wa KiAfghanistan, hatusikii hata vyombo vya habari vikiripoti matukio hayo.
Fundamentalists ni bora mara milioni kuliko hao unao watetea... Watu wapo kwenye nchi yao, wanauliwa kila kukicha lakini hatusikii mkikemea... Vita ni vita havina macho, ukiwa kibaraka wa maadui zako unategemea nini?Mhhh this world could be a nice place to live without these Islamic fundamentalists! ugaidi wao, uuwaji bila sababu wao ......kazi kweli kweli
Hata kama si yeye aliye wauwa lakini alikuwa anasapoti upande gani...? Ni kimbere mbere chake kilicho mpeleka kwenye nchi ambayo imeharibiwa na mabwana zake wa kimarekani na washirika wake. Alitegemea nini... kwani waAfghanistan walimwita au kumuomba msaada wake?kwani yeye ndiye alye waua hao uanodai wanauliwa. Kwa mawazo yako haya hata huo mfungo wako utakuwa ni kejeli kwa huyo Allah wako
Fundamentalists ni bora mara milioni kuliko hao unao watetea... Watu wapo kwenye nchi yao, wanauliwa kila kukicha lakini hatusikii mkikemea... Vita ni vita havina macho, ukiwa kibaraka wa maadui zako unategemea nini?
Je hao askari wanao huwa na uku wakipeleka watu wa kuwabadilisha dini wale waliokosa makazi na kupata vilema kwa kutokana na wauwaji wa kimarekani ndio unao wapenda na kuwashabikia?Xpaster
Nina rafiki na jamaa wa Kiislam, wanamioyo mizuri sana na mara zote wanachukia waislam wanaofanya mauwaji kwa kisingizio cha dini...nachukia hawa fundementalist maana nadhani wanaenda kinyume na uislam wa kweli. Islam ni neno la kiarabu lililotokana na Salema" which means peace, purity, submission and obedience. Hata Mzanzibar wangu hapendi hawa wanaotumia upanga kuuwa kusingizia imani.
Nyie mjahidina kweli mna matatizo kwani wewe ni Mafghanistani hadi ujue kuwa hawakumwita? Sawa hata kama kilikuwa kimbelembele na siyo kimbre mbere chake kwani hao wanaojifunga mabomu na kuyalipua msikitini na kuwaua waislam wenzao no ni shauri ya kimbembele? You make me sick. Your actions reflect a nature of beasts in you.Hata kama si yeye aliye wauwa lakini alikuwa anasapoti upande gani...? Ni kimbere mbere chake kilicho mpeleka kwenye nchi ambayo imeharibiwa na mabwana zake wa kimarekani na washirika wake. Alitegemea nini... kwani waAfghanistan walimwita au kumuomba msaada wake?
Wewe ndio ujui unacho ongea wala ujui nini unacho tetea bora unyamaze kimya...!Nyie mjahidina kweli mna matatizo kwani wewe ni Mafghanistani hadi ujue kuwa hawakumwita? Sawa hata kama kilikuwa kimbelembele na siyo kimbre mbere chake kwani hao wanaojifunga mabomu na kuyalipua msikitini na kuwaua waislam wenzao no ni shauri ya kimbembele? You make me sick. Your actions reflect a nature of beasts in you.
Je hao askari wanao huwa na uku wakipeleka watu wa kuwabadilisha dini wale waliokosa makazi na kupata vilema kwa kutokana na wauwaji wa kimarekani ndio unao wapenda na kuwashabikia?
Salema? Ndio kitu gani wewe masanilo
Basi wakati mwingine huwe makini na unacho copy na ku-paste.Sishabikii wauwaji wa aina yeyote! Nasikitika nguvu kubwa inayotumika huko Pakistan, Afghanstan, Iraq na majeshi ya US na washirika wake. Mauwaji ya watoto na akina mama wasio na hatia nina yalaani kwa nguvu zote.
Salema nadhani ndilo neno la kiarabu neno Islam lilikoanzia, naweza kuwa nimelikosea ila Islam maana yake ni Peace na unyenyekevu.
Ila majonzi kwa WaAfghanistan huna, maana wale si binadamu...!Tulia wewe, nina majonzi sana na kifo cha huyu dada, unajua hakuwa hata anaujua ukristo? Iko jukwaa hili makusudi ili isomwe baadaye FARIDA ataihamisha.
Basi wakati mwingine huwe makini na unacho copy na ku-paste.