Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Kwamba wa kwako ulimkuta bikira/ bikira ya kichina!!?, hongera. Nadhani umeielewa picha vemaSio kila mtu karithi mke
Of course it is[emoji15] [emoji35] but that is non of my business [emoji12] [emoji144]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona umependwa ujue kuna boya kaachwa na ukiona umeachwa ujue kuna mjanja kapendwa [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwanangu utatuua kwa presha siku nyingine usitupe ukweli namna hii! Umenipa wazo kabisa kumbe nakula bata na mke wa mtu, nami wangu yuko na boya mwingine hukooooo... aiseeee jaman kwa kweli ni shidaaaah
Yeeeeah hyo ni kweli kinomaa
Wapi nimeongelea mke wangu? We kama hujamkuta wako bikira usikonde zoea tu, kuchapiwa hujaanza wewe na wala si wa mwisho.Kwamba wa kwako ulimkuta bikira/ bikira ya kichina!!?, hongera. Nadhani umeielewa picha vema