Not married yet? Soma hapa

Kitwanga kikimuisha ndo atajua aliye juu usimngoje chini, mfuate huko huko juu....
 
Ndio hivyo, wake zetu tumerithi toka kwa boyfriend wao walio enjoy nao kabla ya kuolewa na sisi. Urithi daima.
 
Mie huwa nashangaa sana sijui kwa nini mnabadilishana/kurithishana?
 
Yaani mke wangu mtarajiwa saa hizi yuko na mtu anamgalagaza?!!!! Bado nipo nipo sana

Acha wivuu. ....
Wee uko na nani saa hii na unamfanya nini......

Ngoma droo kubaliana na matokeo tuu.

Kasie mie singeli daima dumu.
 
Iundwe sheria.. kuwe na ndoa za barabarani... mkionekana mnashikana shikana... mnatokea guest... mnakaribiana kimahaba... hapo hapo ni ndoa... sherehe mtajijua wenyewe...
 
Iundwe sheria.. kuwe na ndoa za barabarani... mkionekana mnashikana shikana... mnatokea guest... mnakaribiana kimahaba... hapo hapo ni ndoa... sherehe mtajijua wenyewe...
Hahahaha!! Sasa hizi zitakua ndoa za minyororo alizoimba Badibakule.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…