NOT ENOUGH anahitaji msaada wetu wanaJF

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,738
Jamani mi binafsi nashindwa kumuelewa huyu dada, sijui anamatatizo gani. But whatever it is, she ril nids help coz hadi now I'm sure for 100% she doesn't know what she want.
Just follow me while connecting dots and possibly u myt join me in this,
Alianza na Siwezi pitisha siku bila mwanaume
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=94073&highlight=

Siku nne baadaye akaja na https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=94722&highlight= Natafuta mume wa kunioa.
.
.
.
Then she came with hii ya kumtamani mme wa mtu, https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/110356-namzimia-mume-wa-jirani.html
Sijui kama alimpata, but whatever it was, you were not supposed to do that.

Jana kaibuka na https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/111891-mibaba-ya-jf-ina-tabia-mbaya.html
eti mibaba ya JF ina tabia mbaya kisa wanaMP, wakati tukirudi nyuma alikuwa anatafuta mtu wa kumuoa na wala hakutoa taarifa kama kashampata, so watu watajuaje? Bytwy it wasn't a polite way to deliver a message.

Leo amekuja na mpya, anatuhitaji wababa tuwe tunajali wake zetu, https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/111901-wababa-muwe-mnajali-wake-zenu.html
Hapa ndo sikuelewi kabsaa, Unamtaka mume wa mtu at the same time u are advising him to care for his wife. Akili or matope? Unless you are joking n if you are then you are in wrong room.

Tulia then jiulize what you want then njoo na uombe ushauri.
Jumapili njema dada angu..:wink2:
 
name calling kama sio bullying....acha hizo great thinker...kama hupendi mada zake usicoment....:A S 13::A S 13:
 
name calling kama sio bullying....acha hizo great thinker...kama hupendi mada zake usicoment....:A S 13::A S 13:

Sio kama sipendi maada zake Roselyne1, just awe specific. Nilikuwa ni mmoja kati ya waliokuwawanachangia posts zake. But as days goes anazidi kutoka nje ya rail and tht's not how GREAT THINKER should be. Alwayz GT sticks to the point.
 
She needs help, ushauri zaidi from MMU family Inkoskaz included
upo sahihi kiongozi!

sijui anafanya mizaha ama ndio alivyo? labda ukimpm na kumpa ushauri anaweza kufaidika zaidi maana huku jukwaani anaweza kushambuliwa akakosa uelekeo,kule uani anaweza kujiexpress kwa uhuru zaidi na kwa kuwa mkuu umeshanote kuwa anahitaji msaada hutakosa cha kumsaidia.mimi pia nitajaribu...amen
 
Ni kweli the lady needs medical attention... lakini vilevile nahisi ni kama wale waliotumwa kuharibu JF MMU forum:A S 13:
 
name calling kama sio bullying....acha hizo great thinker...kama hupendi mada zake usicoment....:A S 13::A S 13:
Usitetee hii Roselyne, Anachanganya sana nimefuatilia haipendezi we Should reflect this :Great thinkers:
 
mimi naamini,hawi serious na chochote anachokiandika,either she or he wants attention. kwani ni mtu na akili zake,na kama angetaka kubadilika angeshabadilika,kama kufahamishwa,ameshafahamishwa sana tu.ila yeye mwenyewe anaona sawa tu.the best way mtu u comment unavyoona mwenyewe au isome na ipotezee.akitaka kubadilika,atabadilika mwenyewe bila ya kuambiwa na mtu
 
Nakubaliana na wewe atakuwa kwenye kipindi kigumu anahitaji msaada na maombi pia. umesahau na ile ya mumewe hajarudi siku ya valentine sasa nashangaa anatafutaje mume huku anaye tayari? na mtoto pia? anyway ni maoni yangu tu
 
Nakubaliana na mtoa mada,ila ni ngumu kumsaidia mtu mwenye sura kumi....leo atasema anatafuta mume,kesho kaolewa,kesho kutwa namtaka mume wa jirani.....yaani inakuwa kama drama fulani,its like she is playing us,which is unfair coz tunamshauri kwa nia safi.....awe tu clear na anayeeleweka,hata kufunga tutafunga kwa ajili yake........
 
Ni kweli the lady needs medical attention... lakini vilevile nahisi ni kama wale waliotumwa kuharibu JF MMU forum:A S 13:

Mkuu asante kwa kulinote hilo, kule kwenye jukwaa la siasa kuna akina MS, Jeykeiwaukweli n.k, possibly anaweza kuwa mmoja wao kwa MMU
 
mimi naamini,hawi serious na chochote anachokiandika,either she or he wants attention. kwani ni mtu na akili zake,na kama angetaka kubadilika angeshabadilika,kama kufahamishwa,ameshafahamishwa sana tu.ila yeye mwenyewe anaona sawa tu.the best way mtu u comment unavyoona mwenyewe au isome na ipotezee.akitaka kubadilika,atabadilika mwenyewe bila ya kuambiwa na mtu

Point taken. Thank mkuu
 
Nakubaliana na mtoa mada,ila ni ngumu kumsaidia mtu mwenye sura kumi....leo atasema anatafuta mume,kesho kaolewa,kesho kutwa namtaka mume wa jirani.....yaani inakuwa kama drama fulani,its like she is playing us,which is unfair coz tunamshauri kwa nia safi.....awe tu clear na anayeeleweka,hata kufunga tutafunga kwa ajili yake........

Well said Michelle, na ndo maana nikamshauri atulie na afikirie what exactly does she want and then ndo aje aombe msaada., otherwise mi naona as if she'z playing us all over here.
She has to be specific with only one Face.
 
Yaani leo usiku amepost threads tatu, zote hazieleweki mpaka nikashindwa kumuelewa. By the way...she must be frustrated kwa jambo fulani ktk maisha yake ya kila siku. Msaada kwaake wahitajika iwapo yu msikivu.
 
Back
Top Bottom