yarumba Msuya
Member
- Oct 21, 2016
- 24
- 9
Asante sana nduguPole sana Serikali ya majanga hii, ndoto zako kuhusu kupata elimu ya juu ndiyo zinayeyuka taratibu, ila usikubali kutoswa kirahisi hivyo jaribu kupambana nao mpaka kieleweke kama hawakupi mkopo mwaka huu basi mwakani wakupe mkopo. Pole sana.
Hivi pesa zote wanazodai kukusanya zinaishia wapi?Pole sana Serikali ya majanga hii, ndoto zako kuhusu kupata elimu ya juu ndiyo zinayeyuka taratibu, ila usikubali kutoswa kirahisi hivyo jaribu kupambana nao mpaka kieleweke kama hawakupi mkopo mwaka huu basi mwakani wakupe mkopo. Pole sana.
Na bado tunajenga uwanja dodomaWanaznguaaa kinyamaaa
Pesaa wanakuxanyaa nying wanaendaa nunuaa ndege