Arselona
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 643
- 153
Hi JF.Mi nilifanikiwa kudownload na kuinstall norton internet security 2011trial version siku tatu zilizopita.Badaye niliamua kuweka product keys ambazo zilionekana zimepitwa na wakati.Nilipojaribu kuweka keys nyingine nilishindwa kuweka kwani baadhi ya vitufe kwenye keyboard viligoma kuandika na zoezi likaishia hapo.Naomba msaada wenu tatizo linaweza likawa nini?Natanguliza shukrani.