Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 233
eboh wenye wivu wanashida ujeWatu wanakalia propaganda oooh north korea kuna shida sana north korea maisha magumu..
Kwa muonekano huo unadhani wana maisha magumu kama sisi au nchi yoyote ya afrika?
Miji safi imepangika kabisa
Debe tupu halikosi kelele.Wenye propaganda zao wanasema ni nchi masikini kuliko tanzania,
Haiitaji akili kubwa kujua ni jinsi gani mabedui wanavotumia nguvu kubwa kuiaminisha dunia kua North korea sio sehem salama pakuishi.
Simba mwenda Pole......................................nini kinafanyika hapo? au ni operation bila ganzi?