North Korea yarusha kombora

North Korea yarusha kombora

Usisahau pale Marekani alipopeleka machumachuma yake kwenye rasi ya Korea. Na akaanza kutoa vitisho vingi tuu.
Lakini kiduku akamwambia arushe tu japo jiwe aone cha moto...
Marekani akaondoa machuma yake na akasingizia kwamba yalikuwa yanapita tuu
Mbona hayo machumachuma yapo mpaka Kesho!
Manowari za Marekani bado zipo hapo Korea
 
Marekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Na yeye marekan si afanye kama kakosea arushe kombora kwa kiduku
 
Korea kusini imeeleza kwamba Korea kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi,hayo yanajiri baada ya mazungumzo ya kuondoa silaha za kinyuklia na Marekani kuvunjika.

Makombora hayo inaelezwa kwamba yaliruka umbali wa 70km hadi 200 kabla hayajaanguka baharini katikati ya Korea kaskazini na Japan.

Marekani imeeleza kwamba inafahamu kuhusu tukio hilo huku waziri wa Mambo ya nje wa Marekani akizungumza na simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Korea kusini na Japan.

Jaribio hili la kombora litakua ni la kwanza kwa Korea kazkazini tangu mwaka 2017 ambapo ilikua Mara ya mwisho nchi hiyo kurusha makombora.

https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2019/05/03/world/asia/north-korea-missile.amp.html
Huyu korea kusini ni mnafiki sana. Yaani anawapelekea ubeya wamarekani kutoka kwa ndugu yake north korea. Na adhabu ya msaliti inajulikana....lol
 
Marekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Mkuu amka ukakojoe husije kojolea godolo
 
Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
Mkuu ze habari za siku tele,kama ni kweli NK ina maisha magumu,ni kwa sababu KAWEKEWA VIKWAZO NA US,sasa jiulize vipi nchi hiyo kama isingekua imewekewa vikwazo ingekuaje? vikwazo viliwekwa ili kuidhoofisha,hakuna kuuza wala kununua bidhaa nje.hii maana yake sio kwamba hawawezi kuzalisha,wanaweza sana.Wangekua hawana vikwazo hata kwa siasa zao tu za JUCHE wangekua mbali sana,hii inawahusu CUBA na IRAN pia,na sasa VENEZUELA,
 
Marekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
anambwela vp kama marekani ni mbambe ajaribu kupeleka manowari huko kama alivyopeleka iran.unacheza na korea wewe...unafikiri hao ni waarabu anaowaonea kila siku!comando 1 wa korea anauwezo sawa na commando 4 wa marekani.fanya utafiti wewe sio kuongea kama zuzu
 
Marekani kishaona bwana kiduku ameshakaa kwenye 18 ndio maana anamzingua kwenye mazungumzo na bwana kiduku anarusha makombora kumkomvisi tramp warudi waongee lakini wap amechelewa.... Vikwazo vimeshataiti..... Waziri wa ulinzi aliyejiudhuru Bwana JAMES MATTIS Alimwambia kama unataka ushuhudie moto ambao haujawahi kushuhudiwa toka dunia kuumbwa arushe hata jiwe kwenye kisiwa chenye kambi kubwa ya marekani cha GUAM bwana kiduku mpaka leo anambwela....
Nachokumbuka Kiduku aliwaambia waMarekani kuwa wajaribu kurusha hata jiwe, Marekani akageuza fleets zake.

Hiyo yako mpya
 
Korea kusini imeeleza kwamba Korea kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi,hayo yanajiri baada ya mazungumzo ya kuondoa silaha za kinyuklia na Marekani kuvunjika.

Makombora hayo inaelezwa kwamba yaliruka umbali wa 70km hadi 200 kabla hayajaanguka baharini katikati ya Korea kaskazini na Japan.

Marekani imeeleza kwamba inafahamu kuhusu tukio hilo huku waziri wa Mambo ya nje wa Marekani akizungumza na simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Korea kusini na Japan.

Jaribio hili la kombora litakua ni la kwanza kwa Korea kazkazini tangu mwaka 2017 ambapo ilikua Mara ya mwisho nchi hiyo kurusha makombora.

https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2019/05/03/world/asia/north-korea-missile.amp.html
Saaafi sana dunia hii inaitaji watu strong kama huyu KIM
 
Uko sahihi Mkuu....watu wake wanakufa njaa huko anarusha viroketi kusudi ili aonekane na Marekani apate nafuu ya vikwazo lakini Marekani wamemkazia
Kwanza heshima iwepo hayo mengine baadae
 
Ushahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.
Kama wana Chakula Cha kutosha kwanini wananchi wengi wanataka kutoroka hiyo nchi lakini utawala wa Kim unawatisha kwa kuwaua.
Nadhani unakumbuka yule mwanajeshi aliyekimbilia south Korea alivyorushiwa marisasi
 
Mkuu ze habari za siku tele,kama ni kweli NK ina maisha magumu,ni kwa sababu KAWEKEWA VIKWAZO NA US,sasa jiulize vipi kamanchi hiyo kama isingekua imewekewa vikwazo ingekuaje? vikwazo viliwekwa ili kuidhoofisha,hakuana kuuza wala kununua bidhaa nje.hii maana yake sio kwamba hawawezi kuzalisha,wanaweza sana.Wangekua hawana vikwazo hata kwa siasa zao tu za JUCHE wangekua mbali sana,hii inawahusu CUBA na IRAN pia,na sasa VENEZUELA,
Salama tu Mkuu....Walishapewa masharti kwamba waachane na nyuklia waondolewe vikwazo,wamekaidi unataka wapewe huruma gani tena?!
 
Ushahidi mkuu. North korea kila mtu ana kitu cha kufanya. Chakula wanacho cha kutosha, technoloji wanayo pia tena ya kwao kwao tu.
Si Kweli. North Korea ni nchi Maskini katika nchi maskini wapo.
Ni nchi Yenye technolojia kubwa ya kijeshi. Na ya 3 kwa jeshi kubwa duniani. Karibu kila mwananchi ni mjeshi.

Nguvu yao ya kijeshi inakwamishwa na nguvu ndogo ya uchumi waliyonayo ikiwemo ushawishi.

Wananchi wa North Korea wana Maisha magumu yaliosheheni masharti magumu na tabu nyingi sana. Adhabu zao nyingi ni kali zikiwemo za kuua.

South KOrea ndio nchi Tajiri yenye maisha mazuri sana, kwa standard za Ulaya. Hawa ndio wana enjoy uhuru na maisha mazuri.

Jeuri ya North Korea ipo kwa tabaka tawala tu. Na Jeuri hii inahusiana na geopolitics. Nchi za China, Russia wanaichukulia kama nchi ya kimkakati.

USA hajavamia pale kwasababu hizi nchi zA China na RUssia hazitaki vita eneo lake.

Nchi maadui ya North Korea ikiwemo Russia, South Korea na Japan.

Inasemekana pia Japan haipendi serikali za Seol na Pyongyang zipatane. Maana yeye atakua ndio adui mkuu.
 
Lakini wakati huohuo watu wake wanakufa njaa wamekondeana ila kiduku kimenenepeana
Korea Kaskazini sio levo zetu hata kidogo mkuu.

Sio kwa kuwa Amerika wanapiga umbea kwamba raia wa kosea wanakufa na njaa na wewe unadakia tu. Vikwazo vilishindwa, kijeshi napo wameshaogopa kumsogelea Kim,,, sasa imebaki umbea tu kama wa wanawake wa uswahilini
 
Usisahau pale Marekani alipopeleka machumachuma yake kwenye rasi ya Korea. Na akaanza kutoa vitisho vingi tuu.
Lakini kiduku akamwambia arushe tu japo jiwe aone cha moto...
Marekani akaondoa machuma yake na akasingizia kwamba yalikuwa yanapita tuu
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom