Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
VP Mike Pence anasema "Table for negotiations is open" na akarudia, sasa hapo unapoleta mbwai zako hivi unajua madhara makubwa ya vita kama hizi wewe?
Forget about it,,,
We unafikiri DPRK ni waafrika wale?,,,,,,Sio wa kispotispoti kihivyo.
Nataka nikuzindue kidogo, hivi unafahamu kuwa licha ya udogo wa nchi yao hao North Korea lakini data zinazojulikana ni kuwa mpaka sasa wana airbases zaidi ya 50.
Sasa fikiria nchi ndogo tu lakini bases ni 50+ na bado sijakupa analysis ya field nyingine nyingine.