S. korea hawana ubabe kwa N. Korea. Ni kama walivyo wajapani. Kwanza wajapan hawana hata jeshi. Wamarekani waliwadanganya.Nadhani sasa ni muda umefika wa Marekani kurudisha silaha zao za nyulkia pale SK.Na wawaruhusu SK kuzitumia pale wanapoona wanatishiwa hii itamtia akili huyu dogo.Tena warudishe yale mabomu yao ya Hydrogen ya 1.2 Megatons.
labda south walimwambia walivyokuwa wana chukuwa mazoezi ya kivita kuwa north wana tucheka maana mazoezi yetu wao walisha maliza
sasa wapo kwenye mambo makubwa zaidi hata hizi Thaad ulizo tuwekea north hawazijali madude yao yana speed mara 100 ya Thaad pia south hawataki vita hapo wamesha wazi wamekuwa wajanja!!!
mkuu kwani kazi ya Thaad nini !!?nyie mnayo mangapi kwani?!
Halafu fundi25 acha kuchanganya mchele na pumba,umeambiwa hilo bomu sasa linakuaje na speed mara 100 sijui zaidi za THAAD?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mambo mengine uliza bhana humu watu kibao wapo watakusaidia...
Half kingine wenzenu walishajaribu hayo miaka 60 iliyopita nyie ndo mnakuja jaribu leo. Jiulize miaka ya 60 hadi leo yatakua yana nguvu kiasi gani nadhan jibu unalo
nyie mnayo mangapi kwani?!
Halafu fundi25 acha kuchanganya mchele na pumba,umeambiwa hilo bomu sasa linakuaje na speed mara 100 sijui zaidi za THAAD?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mambo mengine uliza bhana humu watu kibao wapo watakusaidia...
Half kingine wenzenu walishajaribu hayo miaka 60 iliyopita nyie ndo mnakuja jaribu leo. Jiulize miaka ya 60 hadi leo yatakua yana nguvu kiasi gani nadhan jibu unalo
kwa hiyo inaifanya iitwe vita ya dunia!
Hahahaa...mkuu kwani kazi ya Thaad nini !!?
nini kinacho weza kuangusha ICBM!!?
hilo bomu la mkuu wetu kim litafungwa wapi!!?
Hilo bomu limejaribiwa ardhini,bado hawajaweza kuweka bomu kwenye kichwa cha kombora ndo wanahangaika na hilo. Halafu kingine THAAD haina uwezo wa kutungua ICBMs mwisho wake ni IRBMs tu.Hata S400 haina uwezo wa kutungua ICBMs.mkuu kwani kazi ya Thaad nini !!?
nini kinacho weza kuangusha ICBM!!?
hilo bomu la mkuu wetu kim litafungwa wapi!!?
Basi Thaad ni ma toy kwa N. Korea.Hilo bomu limejaribiwa ardhini,bado hawajaweza kuweka bomu kwenye kichwa cha kombora ndo wanahangaika na hilo. Halafu kingine THAAD haina uwezo wa kutungua ICBMs mwisho wake ni IRBMs tu.Hata S400 haina uwezo wa kutungua ICBMs.
kwaiyo umeelewa siku changanya cement na unga wa ngano siyo!!!Hilo bomu limejaribiwa ardhini,bado hawajaweza kuweka bomu kwenye kichwa cha kombora ndo wanahangaika na hilo. Halafu kingine THAAD haina uwezo wa kutungua ICBMs mwisho wake ni IRBMs tu.Hata S400 haina uwezo wa kutungua ICBMs.
Kama S400 zilivyo matoy.Basi Thaad ni ma toy kwa N. Korea.
marekan aache vitisho na mikwara ya kijinga. Kila taifa lifanye mambo yake kwa uhuru pasipo kuingiliwa na taifa jingine.Nimeona majadiliano mengi Al-jazeera asubuhi hii, sijui nafasi ya Watanzania ni nini ila kila aliyekuwa anaongea (hawa ma - experts) wa masuala ya silaha, vita na usalama wa dunia hakuna aliyeongea kwa kushabikia.
Vita ya silaha nzito kiasi hicho si salama kwa ulimwengu wote.
hayo ma S400 hayahusiani kabisa na issue ya kim na trump.Kama S400 zilivyo matoy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi Thaad ni ma toy kwa N. Korea.
Kwani hiroshima na nagasaki,bomu gani lilitumika?Ujue nuke haijawahi kutumika kushambulia popote!
Hydrogen bomb ni mchumba wa nuclear bomb.
Hilo bomu limejaribiwa ardhini,bado hawajaweza kuweka bomu kwenye kichwa cha kombora ndo wanahangaika na hilo. Halafu kingine THAAD haina uwezo wa kutungua ICBMs mwisho wake ni IRBMs tu.Hata S400 haina uwezo wa kutungua ICBMs.