North korea: No diplomacy until ICBM can hit US

North korea: No diplomacy until ICBM can hit US

Kiduku afanye tambo na upuuz wake tu ila tusiombee kabisa hawa watu wapigane maana si kiduku wala us tu atayeathirika bali dunia na watu wote itakuwa hatar kwetu hivyo achen kushabikia upuuz kuen na busara na mkafikir nje ya box b4 coment
Acha wapigane bwana mimi nimekwishaanza athirika na kelele za mikwara yao.
Wapigane tu hakuna namna kwanza mabomu yametengenezwa kutumika itakuwa vizuri wayatie baina yao siyo kwenda kuyatumia kwenye nchi kama syria kama Trump alivyondondosha MOAB pale
 
Let , Kim Jong-Un and North Korea stand firmly against dictator USA.

North korea & KimJong-Un, The Sky is Not a Limit.
 
Back
Top Bottom