Nooma...Nyoka hawa wana miaka 7 hapa

Kwani ww unafikiria nn mkuu mshana jr.ambacho cc hatujagundua??
Kiasili nyoka si mnyama wa kufugwa na hata katika maandiko tumeambiwa cha kumfanya tukikutana naye naye akikutana nasi. ...sasa unapokutana na mtu kafanya kolabo na huyo mdudu kuna maswali mengi kuliko majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…