Nondo za Ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nondo za Ujenzi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Buggy, Jan 3, 2012.

 1. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani, naulizia wapi nitapata nondo kwa bei POA (10mm au 8mm) kwa ajili ya kujengea madirisha. Nimeishafanya mahesabu na ninahitaji nondo kama 160 hivi. Nyumba inayojengwa iko Boko CCM. Asante.
   
Loading...