Non-granta kwa Polepole

Non-granta kwa Polepole

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
 
..hiyo itatoa nafasi kwa Polepole kupewa hadhi ya ukimbizi na itazidi kuichafua nchi yetu.

..njia nzuri ya kukabiliana na Polepole ni kujibu hoja zake na kuzifanyia kazi.
Kuichafua kwa Nani? Who cares? Kwendraaa
 
Apewe non Granta na nchi yake tangu lini hii😃😃😃
Hayo ndio ma ccm mengi huku mtandaoni hayana akili na wala haielewi inakurupuka kupost vitu hata hawavielewi.
Huyo kilaza wa mbogamboga itakuwa haelewi hata maana ya person non grata
Kwa sasa inachojua au kilichopandikizwa kichwani kwao ni MAma hana deni.
Mipumbavu kabisa
 
Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
Sheria hairuhusu kumnyang'anya uraia Mtanzania labda awe amepata uraia wa nchi nyingine au alipata uraia (naturalization) kwa njia ya udanganyifu
 
Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
Huwezi kumnyang'anya mtu kitu asichokuwanacho, ubalozi alishautema. Kwenye uraia mvumilieni tu maana kuteka na kupoteza ni kumnyang'anya uraia kulikwovuka viwango.
 
Anyangwanye ubalozi na uraia mapema asubuhi. Asizidi kuvuruga Amani yetu
Wewe kilaza wa mbogamboga ,ng'ombe ya Mama isiyojielewa sasa anyang'anywe vipi ubalozi ambao ameshautema.
Au ulikuwa unamaanisha hadhi ya ubalozi?
Halafu Non granta maana yake nini?
Manake nyie ng'ombe za Mama huku mtandaoni akili zenu ni zero kabisa hamjui hata mnavyoandika au mnamaanisha nin
 
Back
Top Bottom