Kwani kwa teknolojia iliyopo siku hizi sio shida kuletewa kinywaji chenye harufu na rangi tena iliyokolea vizuri ya wine og na ukaambiwa ndo wine isiyo na kilevi? Yani sio shida kupata wine Fake au Waini pori/mwitu. Ni rahisi sana🤣🤣🤣🤣🤣yaan mwee
Sina hamu,nipo Kama mgonjwaKwani kwa teknolojia iliyopo siku hizi sio shida kuletewa kinywaji chenye harufu na rangi tena iliyokolea vizuri ya wine og na ukaambiwa ndo wine isiyo na kilevi? Yani sio shida kupata wine Fake au Waini pori/mwitu. Ni rahisi sana
Sawa mkuuTafuta kitu inaitwa Greybolt. Ngoma fresh kwa wale wanaopendelea sijui Redds, sijui Flying Fish
Nimekunywa zile so- called non-alcoholic wine. Zinalewesha.Habari,
Wana jamvi hivi nikweli kuna mvinyo (wine)ambazo hazina kilevi kabisa kama unazijua zitaje.Maana kuna mtu aliniambia zipo nikamgomea Ahsanteni.
Pole mkuu. Utaskia "Samahani .....Jaribu tena baadaye" 😵Sina hamu,nipo Kama mgonjwa
Umepiga ngapi mkuu?? Tuanzie hapo.Nimekunywa zile so- called non-alcoholic wine. Zinalewesha.
🤣🤣🤣🤣 nani huyo?Pole mkuu. Utaskia "Samahani .....Jaribu tena baadaye" 😵
Dah! 🤣🤣🤣Umenikumbusha mbali, tulikua tunakunywa ulimi ukiwa mwekundu tunaenda kuringishia watoto wengine [emoji16][emoji16][emoji16]
Inaitwa Divai.Dunia ina mengi, yawezekana zipo ila wine isiyo na kilevi si itakuwa juice ya zabibu 😁
Kwani divai haina kilevi mkuuInaitwa Divai.
Kingi sana ,Altar wine ya Dodoma wine Iko na 19% ya alcoholHata hizi za sacrament kanisani zina kilevi.
Labda champagne
Hiyo ni juiceAaaah sasa kuna mwamba kaniambia zipo
Mkuu...in real sense kuiavoid alcohol ni ngumu sana. Tunda lolote lililoiva lina kiwango flani cha alcohol . Japo ni chini ya 1%Ikifanyiwa dealcoholization inabaki na kilevi kidogo sana, kiwango cha chini ni 0.5. Kwa kiwango hicho hata ukipima kwa alcoholic detector itakujibu haina kilevi.