Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Sawa mkuu kwa amesoma majibu yako na ushauri wako anakushukuru sana na ameahidi kuufanyia kazi.kwana kabisa mpe pole besty wako....
jambo la kwanza kabisa naona ni bora yeye aendelee kutulia...hamna shida ya kuwa na papara ya kuingia kwenye uhusiano mwengine kwa kuwa kwa sasa yupo emotional na hivyo judgement yanke itakuwa sio sahii.
pili ni wakati wa yeye kukaa chini na kujichambua kwa undani kwa nini mahusiano yake yeye yanaishia pabaya....hapa sasa inabidi awe kweli kabisa maana ndio atapata kujua tatizo lipo wapi na hivyo kujirekebisha. kwa mtazao wangu naonakuwa uchaguzi wake unaweza kuwa mbovu....na hii inaweza kuwa inatokana na yeye kuwa mtu wa hisia kali alizonazo na hivyo zina cloud judgement zake na kushindwa kuona the real person ambaye anataka kuingia nae kwenye mahusiano....wanaume wasanii bwana...maneno matamu mpaka unalegea lol!
mwisho kabisa attitude yake inabidi ibadilike....na inatakiwa aanze na fikra zake kubadilika kuhusiana na mtazao wake wa hali aliyokuwepo sasa. ni vyea kwanza ajue mapungufu yake yaliyochangai kwa yeye kupatwa na mikasa hiyo hivyo kubadilisha jinsi anavyojiendesha wakati anaanzisha mahusiano. pia she must think positive....kwa kuwa bado wapo wanaume wanamtaka aichukulie hiyo kama kuwa yeye bado ni mrebo na with careful selction atapata tuu mwanaume ambaye atamfaa yeye.
ila mwambie kabisa kwa sasa asiingie kwenye uhusiano wowote ule....tulizana na afanye self evaluation!!!!
Hilo la wivu ndio tatizo kubwa huwa anamwamini ila anapenda kila wakati wawe wanaongea kuchati muda wote ajue yuko wapi na mambo km hayo ambapo kwa sasa ameazimia kudeal na hali hiyo,amesoma ushauri wako na anakushukuru sana.Mpe pole shostito,mwambie asijali yote yatakwisha na atamsahau huyo bwana lakini na yeye pia asi pende kupita kiyasi,na asiwe mwenye wivu sana amuamini mpenzi wake na asiweanamshuku unajua wivu mwingi kwa mwanamme pia n kero,ajaribu kujishughulisha na kazi zake kwani akiwashiriki sana wanaume watampeleka pabaya,avute subra ajirekebishe na yeye mapungufu yake,na amuombe Mungu atampa mwenye kheir na yeye...
Amesoma na amekuelewa mkuu nami nitajitahidi kumkip busy angalau asifikirie haya mambo tena!Mpe pole na hongera kwa kuachana na huyo mwizi (mume wa mtu)ni wachache sana ambao wana busara kama zake kiuiumiza kwa muda akiamini atapata mwanaume wake mwenyewe....
Pili mweleze haitaji kulia na kujichoka na kujichukia ila anahitaji muda ajipe muda wa kukaa mwenyewe bila kuchokorwachokorwa ..atoke na nyie marafiki zake...nendeni cinema hata baada ya kazi ...wkend pls m-kip busy nenda naye swimming places....mpe raha rafikiyo ajione nayy ana marafiki...yes we need to be loved sumtymes but some ppl they dont deserve to be given our loves....aone hao wote was one of them...she needs time to heal her souls...
Asante bishanga,at least ametoa tabasamu baada ya kusoma coment yako,jana nilimwonyesha ila sred ya RR kwa alivyokuwa wala hakuisoma ndio anaisoma sasa,asante kwa ushauri mkuu.Mwambie aende kwenye thread ya Russian Roulette asome huo mpambano atacheka na ku relax kidogo! On a serious note mwambie rafiki yako kwamba sasa anakaribisha ulcers tena kwa ari na kasi. Hakuna kitu kibaya kwa afya kama worries. Mwambie aanze kwenda gym,a join kwaya kama ni mkristo,ajiunge na music school kama anapenda muziki,aanze kozi mpya ya evening class,the point is mwambie atafute kitu cha kumshughulisha baada ya kazi,haya mambo ya wanaume na malavidavi asiyaweke mbele sana bana yatakuja yenyewe,afterall wanaume kibao town hapa.
Amekiri na kukubaliana na wewe na analifanyia kazi tatizo hilo ili aondokane nalo!Binandamu yoyote yule mwenye wivu wa kupindukia hawezi kufanikiwa katika jambo lolote lile maishani!
Niko naye hapa babu, anapunga huuoni babu?Cantalasia rafiki na mjukuu mwema,
Unavyosema "amekiri, amekusoma na amekuelewa" unataka kutuambia huyo mtu uko naye hapo?
Kama uko naye mwambie anipungie mkono nione............
Kwakuwa ana matatizo, nimekubali kupungiwa na mkono wa kushoto, azawaiz ningemtukania kikojoleo chake......Niko naye hapa babu, anapunga huuoni babu?
Umetisha Aspirin..Kwakuwa ana matatizo, nimekubali kupungiwa na mkono wa kushoto, azawaiz ningemtukania kikojoleo chake......
Beki tu ze topic.............mwambie Mie Babu ODM a.k.a bigi braza Asprin babu wa wajukuu wa kike namwambia hivi:
1. Ajiunge na JF awe anauliza maswali mwenyewe ili akitongozwa na masharobaro ya huku ajue namna ya kupambana nayo, siyo kulialia hivyo.
2. Mapenzi hayatafutwi bali yanakuja nachurale..... Saa nyingine anapaswa amshukuru Mungu kwa kutendwa labda yawezekana ameepushwa na mazahma makubwa zaidi
3. Maisha haya ni mafupi sana, aachane na biashara ya kujuta na kuvililia vibaiolojia vya kiume. kwani bila vikojoleo maisha hayaendi?
4. Kwa kuwa wanaume ni wakarimu sana, fuatilia sredi ya RR, asijibane sana. Akipata mpango wa nje ajirushe kwa raha zake. Angalizo: Asivunje ndoa za watu
5. Kwa ushauri zaidi anitafute PM
Wewe sema Amina mwambie yeye anipigie makofi kwa ushauri huu.
NB: Mara ya mwisho nilimshauri Graca Marchel, akautumia ushauri huu akazidisha viwango akampindua Winnie Mandella......... Dont practice this at home.
Ni pouwa kbs my dia,nisamehe tu coz nia yangu ni njema ni ili tupate msaada coz napenda kukuona mwenye furaha wakati wote feis!cantalasia!! ni aje umetoa siri zangu JF!! na nilikwambia iwe siri yako!!
sure Baba_Enock,...anything than enough is harmfull,..imeandikwa tuwe na kiasi mkuuBinandamu yoyote yule mwenye wivu wa kupindukia hawezi kufanikiwa katika jambo lolote lile maishani!
na huu wivu wa kupita kiasi sijui wanajifunzia wapi,...mimi mbona sinagaHilo la wivu ndio tatizo kubwa huwa anamwamini ila anapenda kila wakati wawe wanaongea kuchati muda wote ajue yuko wapi na mambo km hayo ambapo kwa sasa ameazimia kudeal na hali hiyo,amesoma ushauri wako na anakushukuru sana.
Babu ujumbe umefika tena kausoma mwenyewe,na ameahidi kujiunga very soon,akijiunga cha kwanza ni kuku pm then mambo mengine yaendelee.Kwakuwa ana matatizo, nimekubali kupungiwa na mkono wa kushoto, azawaiz ningemtukania kikojoleo chake......
Beki tu ze topic.............mwambie Mie Babu ODM a.k.a bigi braza Asprin babu wa wajukuu wa kike namwambia hivi:
1. Ajiunge na JF awe anauliza maswali mwenyewe ili akitongozwa na masharobaro ya huku ajue namna ya kupambana nayo, siyo kulialia hivyo.
2. Mapenzi hayatafutwi bali yanakuja nachurale..... Saa nyingine anapaswa amshukuru Mungu kwa kutendwa labda yawezekana ameepushwa na mazahma makubwa zaidi
3. Maisha haya ni mafupi sana, aachane na biashara ya kujuta na kuvililia vibaiolojia vya kiume. kwani bila vikojoleo maisha hayaendi?
4. Kwa kuwa wanaume ni wakarimu sana, fuatilia sredi ya RR, asijibane sana. Akipata mpango wa nje ajirushe kwa raha zake. Angalizo: Asivunje ndoa za watu
5. Kwa ushauri zaidi anitafute PM
Wewe sema Amina mwambie yeye anipigie makofi kwa ushauri huu.
NB: Mara ya mwisho nilimshauri Graca Marchel, akautumia ushauri huu akazidisha viwango akampindua Winnie Mandella......... Dont practice this at home.