Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,556 Jul 3, 2010 #2 Wachina kiboko hata U-houseboy bongo hawana hiyana!
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Jul 4, 2010 #3 Masanilo said: Wachina kiboko hata U-houseboy bongo hawana hiyana! Click to expand... Hiyo tisa, mbeleko kaipatia kweli sijui kama bado kuna wataalamu wa kufunga mbeleko hivi sasa?
Masanilo said: Wachina kiboko hata U-houseboy bongo hawana hiyana! Click to expand... Hiyo tisa, mbeleko kaipatia kweli sijui kama bado kuna wataalamu wa kufunga mbeleko hivi sasa?
Junius JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 3,180 Reaction score 149 Jul 4, 2010 #4 Hili tangazo la UNO safi kumbe nshajuwa wapi nimekosea mpaka sijapata maisha bora.
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,913 Reaction score 1,033 Jul 4, 2010 #5 Mmmmh,kazi ipo!!!
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,563 Reaction score 18,696 Jul 4, 2010 #6 mh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli?
Bourgeoisie JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 656 Reaction score 162 Jul 4, 2010 #7 De Novo said: mh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli? Click to expand... Ipo ila naona imekingwa na mkono. Hao ndo wachina wajenzi barabara na madaraja wakifanya mabo yao.....TWO In ONE- (wanakuja nchini kwa viza ya kujenga barabara/madaraja huku wakiwa wana-fertilize)
De Novo said: mh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli? Click to expand... Ipo ila naona imekingwa na mkono. Hao ndo wachina wajenzi barabara na madaraja wakifanya mabo yao.....TWO In ONE- (wanakuja nchini kwa viza ya kujenga barabara/madaraja huku wakiwa wana-fertilize)
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Jul 4, 2010 #8 Junius said: Hili tangazo la UNO safi kumbe nshajuwa wapi nimekosea mpaka sijapata maisha bora. Click to expand... mkuu yaani hili tangazo limeniacha mdomo wazi kha?
Junius said: Hili tangazo la UNO safi kumbe nshajuwa wapi nimekosea mpaka sijapata maisha bora. Click to expand... mkuu yaani hili tangazo limeniacha mdomo wazi kha?
Wun JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 358 Reaction score 72 Jul 4, 2010 #9 De Novo said: mh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli? Click to expand... ameenda kuiuza china
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,210 Jul 4, 2010 #10 Hilo Tangazo wapinzani wameliona?? Linatosha kabisa kutumika kama kithibitisho kupinga matokeo ya uchaguzi iwapo CCM itashinda katika jimbo hilo.
Hilo Tangazo wapinzani wameliona?? Linatosha kabisa kutumika kama kithibitisho kupinga matokeo ya uchaguzi iwapo CCM itashinda katika jimbo hilo.