Noma sana

Kama kitandani uko vizuri sio mbaya shost...[emoji16]jitahidi tuu hata kutengeneza saladi
mimi nataka asiyejua chochote kitandani, hata asipojua kupika nalo sio tatizo tutafundishana.
ukiwa vizuri kitandani kupitiliza inanipa maswali sana.
Hupendo huvuvumilia yote, ntakuvumilia ukijifunza kupika nikiwa mwalimu wako.
Thad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…