Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Woiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaaa
Kidogo kidogo unajiangalia kwenye kioo unakizungusha
Mkuu unavojuaga kukaza kichwa[emoji16]Unaongea na nani mkuu
Nipe namba yako nikutumie Castle light 2 upoze kiu kwa kazi nzuri uliyofanya[emoji2]Mwali ndio umeshaingia lazima tukusotee unyago usije ukawa msungo
[emoji23][emoji23][emoji23]hawezi kukuachaa najua hilii...atahuzunika tuu kidogo kwa kutoa utam wa chumba nje....
Siwezi kufanya uzembe kwa hili, asante. Bado msondo....nitakutafutaUsifanye uzembe tuu... Kama hukupitia unyago una kazi bado somo angu[emoji23][emoji23]
Naona unajiandaa na harusi yetu
Mkuu unavojuaga kukaza kichwa[emoji16]
Atakuja aniambie mimi wa mikoani sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utamuweza huyo, akili zake anazijua mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti
Hatukujua leo kungwi kama ungekuwa [emoji91][emoji91][emoji91]tulijua bado uko msondo hujatoka bado kwa wali wako...[emoji23]Hivi kwa nn mliniita huku jamani
Lengo la kuoana ni kusaidiana kupeana mawazo kutatua kwa pamoja changamoto za maishaNyie ndo mnakauli tatanishi.
Nijuavyo watu wanaungana kwa ajili ya maisha kiujumala hiyo kudinyana kupo tu
Nisamehe bure kungwi wangu, ilitokea dharuraHivi kwa nn mliniita huku jamani
We mnyantuzu nini lakini? Usiku hulali mchana hufanyi kazi u mwanaume gani wewe![emoji53]Atakuja aniambie mimi wa mikoani sasa hivi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utamuweza huyo, akili zake anazijua mwenyewe