Asante kwa somo la shanga. [emoji120] [emoji120]
Kiuno kigumu kama vyuma ya anko Magu[emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babe baaasii,.sio la wa kubwa hili woiiii
Habari na hoja mix...Eeenh ni jukwaa gani
Ila mwanamke akiwa amevaa shanga na anajua kukizungusha hapo lazima atimiziwe kila anachotakaGold au silver ni urembo tu shanga ndio kila kitu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kungwiiii[emoji108][emoji108][emoji108]nakojoaa mm...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kungwi na somo wangu mnanivunja mbavu mwali wenu!Usikojoee babe nataka tukojoe wote kwani hili jukwaa gani nimekuja bada ya kunimention
Somo wangu,naona kiti wa kungwi yuko haii hapo hajala Heineken,. wooiii[emoji23][emoji23][emoji23]siri zote nje njee[emoji23] [emoji23] [emoji23] kungwi na somo wangu mnanivunja mbavu mwali wenu!
Hivi kumbe mambo ni marahisi kiasi hicho? Ngoja nianze zoezi nitakupa mrejesho baada ya siku 7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mm ebu uwe unakilainisha basi shika kiuno na mikono yako miwili uwe unapeleka kushoto na kulia kushoto na kulia inakuwa kama zoezi lako kama siku 7 hivi kiuno chenyewe kinakuja kulainika
Ila mwanamke akiwa amevaa shanga na anajua kukizungusha hapo lazima atimiziwe kila anachotaka
Mwali ndio umeshaingia lazima tukusotee unyago usije ukawa msungo[emoji23] [emoji23] [emoji23] kungwi na somo wangu mnanivunja mbavu mwali wenu!
Usifanye uzembe tuu... Kama hukupitia unyago una kazi bado somo angu[emoji23][emoji23]Hivi kumbe mambo ni marahisi kiasi hicho? Ngoja nianze zoezi nitakupa mrejesho baada ya siku 7
Somo wangu,naona kiti wa kungwi yuko haii hapo hajala Heineken,. wooiii[emoji23][emoji23][emoji23]siri zote nje njee
Wewe unavaa ?Asanteeeee mkuuuu shanga na ziheshimiwe
Hivi kumbe mambo ni marahisi kiasi hicho? Ngoja nianze zoezi nitakupa mrejesho baada ya siku 7
Wanaume wanaruhusiwa kuudhuria hilo darasa?Njoo mama. Darasa la bure
Wewe unavaa ?
[emoji23][emoji23][emoji23]hawezi kukuachaa najua hilii...atahuzunika tuu kidogo kwa kutoa utam wa chumba nje....Khaaaaa
Aibu naona mm shunie [emoji85][emoji85][emoji85] babe wangu Wick asipite akaona naongea habari za shanga hadharani
Naona unajiandaa na harusi yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kungwi na somo wangu mnanivunja mbavu mwali wenu!