Noma sana

Kwa kweli niko poa sana katika upikaji nikikuta mwanamke anapika kama Mbuzi huwa namdharau sana.
Mkuu upo Kama Mm ani nikikutana na mwanamke ambaye hajui kupka huwa namuombea kwa mungu to. Coz secta iyo niko vizuri mpaka najionea wivuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jibu safi sa ili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebuuuuu.

Hivi nani kakufundisha uchokozi lakini? Maana sina nijualo ujue. [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wasukuma wapo hivi:
  • Bhanang'weli
  • Bhanang'wagalla.
  • Bhadakàma (wanyamwezi)
  • Bhanyantuzu
Kuna wakolomije sasa kati ya hao 1 na 2 ndio wanaotuchafua wote!😀...
Hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…