Huyo ndo aina ya mwanamke ninayemtaka Mimi.Wapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Huhuhu wuuuii asa tuta share vipi ee mimi ke wewe me yani eeeSawa mkuu, naomba kushare jinsia na wewe tafadhali...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Basi sawa mkuu...Huhuhu wuuuii asa tuta share vipi ee mimi ke wewe me yani eee
ExactlyHata awe msomi kiasi gani , kama hawezi pika hata uji ni tatizo kubwa sana
[emoji126] [emoji126]Basi sawa mkuu...
Ebu jibu tu hata hiyo PM nilio kutumia...[emoji39] [emoji39]
Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti wa nyumbani. lol.Wapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Nakugawa Dada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujitahidi uvae hata mbili lakini shanga zinapendeza kuvaa mbili au 3 usizidishe zaidi ya hapo itakuwa mauchafu
Shanga inamsisimua mwanaume akiziona na vile akiwa anakuchezea kiunoni acha kabisa
Kingine kiuno vipi unajua kukata
😂😂😂😂Ewaaaa
Kidogo kidogo unajiangalia kwenye kioo unakizungusha
Hyo ni nyepesi mno kuijua ajue hivi vigumu kwanza
Vp shoga. Mapishi wayajua nije unifundishe? 😂😂😂Baas sawa mkuu[emoji126]
Wanasahau kuwa mwanaume anatekwa na chakula kizuri sio kitandan tuu,ingekuwa ivyo makugwi wasingeachwaWapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Hyo sekta niko vizuri asee nakuaje mama ntilie alafu sijui kupika nyumbani chaaVp shoga. Mapishi wayajua nije unifundishe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh. Shikamoo kaka Masai.
achana nao hao beb!.. wanatufananisha na ndugu zetu mkoa mwingine!.Mbona wanawasakama hivi
Hahahaaaa. Ahsante kwa kuongeza nyama na Usafi pia.Wanasahau kuwa mwanaume anatekwa na chakula kizuri sio kitandan tuu,ingekuwa ivyo makugwi wasingeachwa
[emoji8]Hahahaaaa. Ahsante kwa kuongeza nyama na Usafi pia.
Ooh. Hiyo nzuri jamaani.Hyo sekta niko vizuri asee nakuaje mama ntilie alafu sijui kupika nyumbani chaa