Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
hebu tupe ushahidi tuhakikishe huna usafirikuna mmoja kanyimwa usafiri ka mie maskini weee!!
Cc farkhinahebu tupe ushahidi tuhakikishe huna usafiri
Ye ndo athibitishe bana ha ha ha mtazame bichwa lake!!kumbe farkhina ndo hana
watu mnaogopa kuweka ushahidi!Ye ndo athibitishe bana ha ha ha mtazame bichwa lake!!
watu mnaogopa kuweka ushahidi!
Sasa si mtanicheka nikiweka humu sura yangu ya umbo la gitaa
lol ha ha ha huyu nae anadandia daladala kwa mbele loh...farkhina njoo huku, kuna watu wanakusema.
Mi nakutetea, usafiri unao ww sio kilema, njoo wawekee utibitisho.
farkhina njoo huku, kuna watu wanakusema.
Mi nakutetea, usafiri unao ww sio kilema, njoo wawekee utibitisho.
Ye ndo athibitishe bana ha ha ha mtazame bichwa lake!!
Mbona nanasi dogo kama tikiti maji!!Bichwa kama nanasi lol
Mbona nanasi dogo kama tikiti maji!!
mh shost wangu ur beautiful as you are!!!YOU ARE BEAUTIFUL MY LITTLE SIS :hug:Haahahhahaha mie wangu wa kutembelea tu...ila haya mabaibui yananistiri kweli maana kimini nkivaa mtacheka lol..
We nakujua unapenda mizinga hata haipakatiki wala haibebeki balaaa :becky:wote wabovu.
Nalog off
We nakujua unapenda mizinga hata haipakatiki wala haibebeki balaaa :becky: