hahahaha dah kaka umeua huku lol
acha kabisa kaka unaweza ukanyonywa mpaka sumni yako ya mwisho.hahahaha dah kaka umeua huku lol
uuuwii!!!!!!!!! ungo tena na tv? aaah kama kufa sasa bora nife.Yap hiyo mwana imekaa sawa ila kwa sababu ya mambo ya kiteknolojia na utambuzi wa mambo ya mbali utakuagiza na ungo wa DSTV ukiwa full na Samsung TV inchi 32 ili aweze kukuonesha kwa urahisi matatizo yako!
kweh! kweh!kweh!!akili mkichwahahhahha mganga akili ya kazi kweli