leo nimeona bora nikafanye window shopping pale kwa marafiki zangu mtaa wa aggrey baada ya kuisubiri nokia 6 kwa miezi 6, nimeziona simu nyingi mmbadala wa nokia 6 nimefanya test zangu ni original kabisa ila taatizo zingine ni used sasa naomba ushauri wenu wadau pls,vipi huawei P9 ambayo ni Tsh 850000/= nikitia humu badala ya nokia 6 au 7 itakuwa nimeingia chaka???
msaada wenu wakuuuu