Nokia ya tochi

Nokia ya tochi

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Wadau habari simu yangu ya nokia ya tochi jioni ya leo naiwasha inaniambia niweke security code wakati sijawai set kitu kama hicho nini suluisho lake
20180828_215715.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Code za kawaida nokia (kama haijawahi kubadilishwa) ni 123400 jaribu hiyo
 
Hiyo cm ni yako?
Na kama ni yaki je!uliwahi kuweka code ?kama hujawahi kuweka na umeweka hizo ikakataa nenda kai flash ni sh.5000 sio hela nyingi
Simu ni yangu niliweka code kipindi nimetoka kununua,lakin nilishaondoa iyo code kama miezi mitatu nyuma,sasa leo ilizima chaji baada ya kuitoa chaji ndo nawasha nakuta ivyo na hata nikiingiza zile code ambazo nilikuwa natumia kipindi cha nyuma nazo zinagoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ni yangu niliweka code kipindi nimetoka kununua,lakin nilishaondoa iyo code kama miezi mitatu nyuma,sasa leo ilizima chaji baada ya kuitoa chaji ndo nawasha nakuta ivyo na hata nikiingiza zile code ambazo nilikuwa natumia kipindi cha nyuma nazo zinagoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo laini ulioweka kwenye cm leo ndio ulokuwa unatumia kipindi imeweka code kipindi hicho?kama sio ebu jaribu kurudishia huko (japo code ni ya cm sio card) uingize tena hizo code za kipindi hicho kama ikikataa hapo ni ku flash tuu hakuna tena ujanja mwingine
 
Sama ngoja nijaribu

Mkuu shukran nimefata maelekezo yako haya baada ya kuweka laini imewaka tu aijadai code asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom