Decorder ya zuku na nokia X2 double lined blue coloured inauzwa.Nokia 120,000,decorder ya zuku 100,000,bithaa zote hazijatumika zaidi ya miezi 6,hazina matatizo,serious buyers PM me please.thanks
Hivi kuna x2 doubleline?? Au mchina?
Chukua elfu 60 iyo zuku....
kwanini ndugu zangu mtu akiamua kuweka tangazo la kuuza kitu chake mnawazia kua lazima kiwe na tatizo fulani?zuku na simu zote ziko bien hazina kasoro yeyote nia yangu ni kunua bithaa nyingine,makumbusho ya wapi ndugu,mkoa gani?Napatikana makumbusho,ina tatizo gan mpaka unaiuza!??
Mi nipo dodoma.Kuuliza ni lazima wengine wanakuwa wanazingua,np DAR....
tarehe 15 kuna m2 wangu anakuja dar kibiashara ili uikague naweza nikamtuma ila tu bei mwisho 80.Naipataje sasa kuna m2 anaweza kuja nao au pesa ipo