Mambo vp? Ninauza simu Aina ya Nokia x2-01 single line, supporting whatsapp, Facebook, twitter na application nyingine nyingi. Iko kwenye condition na Haina tatizo lolote. Bei ni 135,000, iPod dar. Karibuni kwa mazungumzo zaidi. 0717-543373 0786305664