nokia wazindua lumia phones 2 kucompete na android za bei rahisi

nokia wazindua lumia phones 2 kucompete na android za bei rahisi

yah mjadala nimeupenda lkn sijaelewa bei unaposema cheap ikiwa huko amazon wakati ikitua bongo bei ni mara 2.5 au 3,mfano midicom ambae ndiye wakala wa nokia A.mashariki bei anazotangaza na zinazouzwa maduka yenye label ya midcom ni tofauti. Kwa ufupi biashara za bongo ni za kutiana umaskini labda mtu anunue moja kwa moja nje ya nchi

mkuu unachoongea ni kweli ila inategemea simu itaanza kuzinduliwa wapi. Simu zinazoanza kuzinduliwa ulaya tunabamizwa sababu wafanyabiashara wetu wanafungasha asia na simu zipo ulaya

ila simu zikianza kuzinduliwa maeneo kama china na india unakuta bei pia inakua chini sababu wafanya biashara wengi wanaenda kufungashia kule

hilo la kununua online nakuunga mkono mkuu lakini tatizo ni kwamba hatuna msafirishaji utanunua kitu then nani ataleta?
 
Nimefungasha Lumia 900 kama tano hivi, nauza kwa laki 5 moja na ni 16G ..Sasa kwenye huohuo mzigo nimeleta Sony ericsson ambazo zinaenda kasi kwa 350,000/- na watu wananiambia eti Sony ni expensive kuliko lumia 900?? How come?
Whats the reasonable price ya Lumia 900?
 
Zije tu maana dijitali itukute pazuri
Pia bei ziwe nafuu watu wamudu kununua.
 
mkuu nafkiri samsung ndo aliiga nokia na always ningar humu ndani alikua anaomba nokia arudie strategy yake ya zamani.

Kama umetumia symbian hili unalijua simu kama e71, e75, e72, n80, e73, e55, e51, .......... Zipo nyingi variety zinafika 40 na zote zilikua cheap na hazitofautian sana anabadili macover tu.

Sio nokia tu alikuepo pia sony ericson nae anatumia hio hio symbian very cheap

So sidhan statement yako kua watu wanamuiga samsung ni kweli

Nokia ali lala sana mpaka sasa android kesha shika soko, but ujio wa Nokia sasa si wakitoto kabisaa and I can tell in Q4 of 2013 teyari Nokia watakua katika hari nzuri, sasa hakuna sababu ya kutonunua Nokia phones,
 
Nimefungasha Lumia 900 kama tano hivi, nauza kwa laki 5 moja na ni 16G ..Sasa kwenye huohuo mzigo nimeleta Sony ericsson ambazo zinaenda kasi kwa 350,000/- na watu wananiambia eti Sony ni expensive kuliko lumia 900?? How come?
Whats the reasonable price ya Lumia 900?

mkuu still hio laki 5 ni expensive kwa lumia 900 japo kibongo bongo ni very cheap kwa bei nlizoziona maduka mengine. Lumia 900 mwez wa 6 mwakajana ndo ilikua flagship ya nokia so ipo overated fulani. Mtu akiskia hii ndo simu nzuri zaidi ya nokia basi tayari mtu anataka aifanye comparison ya bei na galaxy s3. Bei halali ya hio simi ni 370,000 hadi 450,000

hio sony mbona hujaitaja jina? Am sure ni kimeo
 
mkuu nafkiri samsung ndo aliiga nokia na always ningar humu ndani alikua anaomba nokia arudie strategy yake ya zamani.

Kama umetumia symbian hili unalijua simu kama e71, e75, e72, n80, e73, e55, e51, .......... Zipo nyingi variety zinafika 40 na zote zilikua cheap na hazitofautian sana anabadili macover tu.

Sio nokia tu alikuepo pia sony ericson nae anatumia hio hio symbian very cheap

So sidhan statement yako kua watu wanamuiga samsung ni kweli

Achana na hayo ma e crs mi nazungumzia ktk ulimwengu wa smarthpone hasa baada ya android kushika kasi na nokia kuingia mkataba na microsoft
 
Achana na hayo ma e crs mi nazungumzia ktk ulimwengu wa smarthpone hasa baada ya android kushika kasi na nokia kuingia mkataba na microsoft

mkuu wakati samsung anaanza kuteneza android na nokia ndo anatengeneza hizo e series so samsung akamuiga nokia na sasa hv usaid nokia kamuiga samsung hahaha, ok sawa nokia wa microsoft kamuiga samsung.
 
mkuu still hio laki 5 ni expensive kwa lumia 900 japo kibongo bongo ni very cheap kwa bei nlizoziona maduka mengine. Lumia 900 mwez wa 6 mwakajana ndo ilikua flagship ya nokia so ipo overated fulani. Mtu akiskia hii ndo simu nzuri zaidi ya nokia basi tayari mtu anataka aifanye comparison ya bei na galaxy s3. Bei halali ya hio simi ni 370,000 hadi 450,000

hio sony mbona hujaitaja jina? Am sure ni kimeo
x10...
 
Samsung nae naona ana windows phone za cheap!! Ila n 7.5 upgradable to 7.8 nadhan so mda ataletA ushindan hyuuu!!
 
Mkuu Chief-Mkwawa hivi simu za huawei tanzania zinapatikana madukani ukiondoa zile za tigo.Nimeona na wao wanatengeneza simu nzuri pia
 
moja kati ya kitu ambacho windows phone ameshindwa na android ni bei, simu njingi za wp zinauzwa bei ghali lakini leo nokia wamezindua simu za bei rahisi kabisa za windows phone. simu zote zina processor za dual core 1 ghz na ram 512 mb na kuzifanya ziwe sio tu bei rahisi bali pia zilete perfomance kubwa.

lumia 520 simu rahisi zaidi ya windows phone
bei ni euro 139 kama laki 2 na elfu 80, kama nlivotaja hapo juuspecification za ukweli simu hii imetengenezwa kwa ajili ya asia na africa na bei hio haijajumuisha kodi.

vitu muhimu kwenye hii simu

  1. ina super sensitive screen inayogusika na gloves, kucha na vyenginevyo
  2. inakuja na built in apps kama za lumia 920 mfano cinemagraph, smartshoot
  3. ina perfomance kubwa na storage, processor 1ghz dual core, ram 512, internal 8ghb na memory card hadi 64gb
  4. masaa hadi 9 ya kuongea kwa 3g
  5. kioo cha inchi 4
  6. speed ni hadi 21 mbps
  7. inatumia windows phone 8
  8. rangi nyingi kuchagua

nokia lumia 720 stylish phone kwa bei rahisi
hii ni euro 249 kama laki 5 hivi unaweza ukaona ni kubwa lakini kwa simu hii si kubwa. ina hadhi ya flagship. ipo kama 520 kwenye specification ila vimeongezeka vitu vyengine kama camera na wireless charging

vitu muhimu kwenye hii simu

  1. wireless charging
  2. kioo 4.3 inch supersensitive
  3. camera 6 megapixel inapiga picha za lowlight kama l920
  4. rangi nyingi za kuchagua
  5. speed hadi 21 mbps
  6. battery kama ya lumia 920 2000mah masaa 13 ya kuongea
  7. camera ya mbele inayopiga wide angle mnaeza kaa watu wanne na mkatoka wote bila kukatwa
hizi ndo silaha mpya za nokia je atatoka?

na leo nokia wamesema store yao imefika apps 130,000+

Rafiki Chief,

Asante kwa habari, we are always getting good information from you.

Kusema kweli 512 RAM haiwezekani kuleta perfomance kubwa.

Pia Android phones ni bora sana kuliko Windows phones, Window kweli imeshinda katika Computers lakini katika simu imepitwa sana na android.

Seems interesting, bahati mbaya in my entire life sijawahi kupenda Nokia......too bad for me i am using android now and it gives me what i want
 
That's a long shot taking on android or ios, hata BB10 awawezi maybe wataweza ku grab the adult segment but grabbing the youth market hapana,due to the fact that yes their devices are powerful dual core and 512ram but still no apps or games in the app store to properly utilize all that power. What's the use of owning such a device? ..wata mwaga devices zote hata wauze $100 -90$ lakini kwa watu wanaojua simu kiukweli awawezi kuwaste their money on this so called smartphone ambayo aina difference NA feature phone..

wakitaka kushindana waget big developers behind them EA,Gameloft, Square Enix, madfinger etc. WA get the latest and greatest games at launch with ios and android

and add more developers WA have better apps unlike the uninteresting apps they have currently ambazo chache under 100 nzuri..maana kila windows phone user analalamika they have no great apps or games .

Nokia is a great company but the Os they chose is rubbish and it's already costing them, in sales profiting majorly from their feature phones .Yani inasikitisha hata huawei ina a bigger market share after Samsung & apple
 
Rafiki Chief,

Asante kwa habari, we are always getting good information from you.

Kusema kweli 512 RAM haiwezekani kuleta perfomance kubwa.

Pia Android phones ni bora sana kuliko Windows phones, Window kweli imeshinda katika Computers lakini katika simu imepitwa sana na android.

mkuu windows phone its realy amazing hamna simu yenye perfomance ndogo na incase ikiwa na perfomance ndogo wanakufungia apps fulani ustumie.

Nokia 610 na 510 ni kati ya simu mbaya kutengenezwa na nokia lakini zipo smooth vibaya sana zina perfomance ambayo android yoyote ya bei rahisi haiwezi fikia and u know what? Zina ram 256mb na processor 800mhz.

So kwenye ram 512mb na processor ya dual core ustegemee perfomance ndogo. Nokia 620 ambayo ilitoka mda kabla ya hizi imempita galaxy s3 kwenye browser test, ikampita lumia 920 kwenye kuopen apps. So mkuu usiidharau wp ikiwa na 512mb still ni ubadhirifu wa resource kwake.
 
Back
Top Bottom