nokia wanatengeneza simu za android

nokia wanatengeneza simu za android

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,062
Reaction score
43,489
Kuna tetesi zinaendelea mtandaoni kuwa kampuni ya nokia inatengeneza simu za android. Inasemekana tayari simu 10,000 zimetengenezwa kama prototype na zinatestiwa. Simu hizo zinatestiwa katika maabara za research za nokia huko china.

Nokia-Android-Lumia-Mountain-View.jpg

Hio picha ni mfano tu sio simu yenyewe

Kwa kifupi details za simu
1. Inatumia processor ya snapdragon 200 hii ina maan itakua simu ya bei rahisi sana.

2.zipo 10,000

3. Zinatengenezwa na kutestiwa china

4. Zipo chini ya department ya research hivyo hazihusiani n manunuz ya microsoft
 
Duh sipati picha specs zake zitakuaje?i guess itakuwa simu nzuri yenye ubora
maana kwa hilo nokia huwa hakosei
 
Lumia 520 ukiieka android inadestroy cheap android zote bongo

true kaka,kwanza nokia huwa anajitaidi sana ku build housing ya maana,sijajua screen na display
na android OS ataweka version gani,akianza na 4+ itakuwa byeee
 
Lumia 520 ukiieka android inadestroy cheap android zote bongo
Ila kunataarifa za uhakika zinasema kuwa Microsoft wananunua kitengo chote cha utengenezaji wa simu wa NOKIA

Sina uhakika kama Microsoft wanaweza kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Na tayari deal hilo liko on mwaka kesho zaidi ya wafanyakazi 10,000 wa Nokia watahamia Microsoft.
Na Madirector wa kitengo hicho watakuwa chini ya madairector wa microsoft.

Sina uhakika kama kweli NOKIA anatengeneza simu za Adroid.
 
kaka hili nalifahamu nimelijibu katika point ya 4

inayoondoka ni part ya hardware na si ya research, part ya research ipo chini ya cto office ambayo sasa itapewa priority kubwa. hii ina maana hata hili deal ikifanikiwa mwez wa 11 na part ya hardware ikauzwa still part ya reasearch itakua nokia na project android itabaki vile vile
 
Mkuu naomba unipatie hiyo source ya information yako maana mimi ni mpenzi wa Windows Phone hii itakuwa sio good news kwangu.
 
Kitengo cha simu cha Nokia wamewauzia Microsoft.

Moja ya makubaliano ya kuuziana huko ni kuwa Nokia haitatengeneza simu zozote zengine wala haitatumia jina la Nokia kwenye product za simu, hivyo hakuna chance ya Nokia Android, nadhani ni kwa miaka miwili hawaruhusiwi.
 
Ila kunataarifa za uhakika zinasema kuwa Microsoft wananunua kitengo chote cha utengenezaji wa simu wa NOKIA

Sina uhakika kama Microsoft wanaweza kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Na tayari deal hilo liko on mwaka kesho zaidi ya wafanyakazi 10,000 wa Nokia watahamia Microsoft.
Na Madirector wa kitengo hicho watakuwa chini ya madairector wa microsoft.

Sina uhakika kama kweli NOKIA anatengeneza simu za Adroid.

Haingii akilini Microsoft - walioinunua NOKIA - watumie technology ya mpinzani wao Google!
 
Kitengo cha simu cha Nokia wamewauzia Microsoft.

Moja ya makubaliano ya kuuziana huko ni kuwa Nokia haitatengeneza simu zozote zengine wala haitatumia jina la Nokia kwenye product za simu, hivyo hakuna chance ya Nokia Android, nadhani ni kwa miaka miwili hawaruhusiwi.

nafkiria possibility hii, simu ya mwisho ya microsoft ya bei rahisi zaidi ni lumia 520, hii android ni snapdragon 200 ambayo technically ni ndogo kuliko lumia 520.

huenda nokia wana plan kuendelea na simu zao za bei rahisi waachane na simu kubwa, na sababu deal lipo kwenye makaratasi halijakamilika hadi shareholder mwezi wa 11 wakubali basi terms zinaweza kubadilishwa.

microsoft na lumia yao watadeal na simu zao za bei ghali na nokia ataendelea na simu zake za bei rahisi. win-win situation
 
Haingii akilini Microsoft - walioinunua NOKIA - watumie technology ya mpinzani wao Google!

kaka microsoft kanunua part ya nokia na si kampuni ya nokia. inayoondoka ni part inayotengeneza hardware part nyengine kama nsn, cto office na masuala ya ramani ipo pale pale
 
nafkiria possibility hii, simu ya mwisho ya microsoft ya bei rahisi zaidi ni lumia 520, hii android ni snapdragon 200 ambayo technically ni ndogo kuliko lumia 520.

huenda nokia wana plan kuendelea na simu zao za bei rahisi waachane na simu kubwa, na sababu deal lipo kwenye makaratasi halijakamilika hadi shareholder mwezi wa 11 wakubali basi terms zinaweza kubadilishwa.

microsoft na lumia yao watadeal na simu zao za bei ghali na nokia ataendelea na simu zake za bei rahisi. win-win situation

Kaka unaweza ukaongea mpaka ukachoka mimi ninachohitaji ni source ya hiyo information yako.
Hivi unilisikia hiyo deal ikoje au hujaisikia?
Kaka deal ni kuwa Kitengo chote cha kutengeneza simu cha NOKIA (Na nokia watabaki tu kufanya service kama Maps na software zingine na sio kutengeneza simu)
 
Mkuu naomba unipatie hiyo source ya information yako maana mimi ni mpenzi wa Windows Phone hii itakuwa sio good news kwangu.

source zipo nyingi nakupa ya fans ya nokia maana kuna mabishano sana hapa utaelewa mengi

Rumor: Nokia Still Working on Android Devices Just *In Case* : My Nokia Blog

hi quote ndo inammaliza kila kitu ipo chini mwisho wa thread

mynokiablog said:
*Note: the site claimed that the
device is being made by the
Nokia R&D labs, which as far
as I gather are going to remain
under Nokia’s ownership after
the buyout (under the “advanced
technologies” name) so that
adds an interesting angle to the
continued Android research.

original source kabisa waliofichua issue ni hapa

Nokia still working on Android phone, won
 
Kaka unaweza ukaongea mpaka ukachoka mimi ninachohitaji ni source ya hiyo information yako.
Hivi unilisikia hiyo deal ikoje au hujaisikia?
Kaka deal ni kuwa Kitengo chote cha kutengeneza simu cha NOKIA (Na nokia watabaki tu kufanya service kama Maps na software zingine na sio kutengeneza simu)

nimekujibu hapo chini mkuu, hayo maneno nilikua naongea na kang,

na mbona possibilities zipo nyingi tu nokia akiwa anasubiri hio 2014 december ifike anaweza akatengeneza custom android ambayo ipo full na ecosystem yake, yani android yenye here map, drive, city lens, na vitu vingi then akawapa manufacture wengine wa kichina waitumie akiwa anasubiria comeback (kama anavyofanya maui)
 
Kaka nimeziona hizo forum ni kama viwanja vyetu tu.
Unajua lengo kubwa la Nokia kumuuzia Microsoft kitengo cha utengenezaji wa simu ni Nokia hawana pesa. Na kunatetesi wafanyakazi wengi sasa wanapata redandansi kwa kukosa mshahara, na hivyo sasa hawanauwezo wa kuendesha project kubwa ya kuweza kukompit

Mimi ninachoweza kusema huenda hiyo project ilikuwapo basi watakoingia mkataba na Microsoft itakufa.
 
Kaka mimi ninadhani hujui uwezo wa Windows Phone mimi ninakupa 1year hutasema haya tena.

sema tu ukweli nokia ndio kaieka windows phone hapa ilipo. mi ni fan mkubwa wa windows phone ila nimeipenda sababu ya nokia.

asilimia 85 ya wp zote ni nokia, kuna vitu hivi nokia kavifanya kwenye windows phone.

1. app 600 store ni za nokia
2. ecosystem ya ramani ni ya nokia (hadi bing map)
3. nokia ametoa sdk zake mwenyewe ili madeveloper watoe apps mfano sdk ya camera
4. nokia ametoa app ya kuhack registry kuinfluence watu kuweza kuihack wp ili kupata vitu kama custom rom na kuside load apps
5. nokia ameruhusu research zake ziingie kwenye windows phone vitu kama glance screen, kublock calls na sms

vipo vitu vingi kaka vyengine sikumbuki kwa kichwa.

sasa imagine microsoft anachukua hardware part ya nokia, then cto office inabaki pale pale nokia.

hii cto office ndio roho ya nokia innovation zote zinatoka hapa alionunua microsoft ni watekelezaji wa vitu vinavyotoka hapa.

windows phone bila nokia itakufa unless microsoft aihamishe awape jamaa wa windows kazi ya kuisuka upya windows phone
 
Annael sio maneno yangu hayo, soko la dunia limeongea, Google wali announce 1billion activation ya android devices, vifaa zaidi ya billioni 1 vinatumia android, au unataka tu ubishi
 
Last edited by a moderator:
nafkiria possibility hii, simu ya mwisho ya microsoft ya bei rahisi zaidi ni lumia 520, hii android ni snapdragon 200 ambayo technically ni ndogo kuliko lumia 520.

huenda nokia wana plan kuendelea na simu zao za bei rahisi waachane na simu kubwa, na sababu deal lipo kwenye makaratasi halijakamilika hadi shareholder mwezi wa 11 wakubali basi terms zinaweza kubadilishwa.

microsoft na lumia yao watadeal na simu zao za bei ghali na nokia ataendelea na simu zake za bei rahisi. win-win situation

Hakuna possibility kama hiyo, Microsoft sio wajinga.

Pili Android haina performance nzuri hata kwenye high end hardware kama G Nexus ina matatizo kibao ya ku-lag tofauti na WP8 ambayo ni smooth hata kwenye 520. Nokia wakiiweka Android kwenye low end hardware watajiharibia jina tu.
 
Back
Top Bottom