NOKIA tena na Lumia 635.

NOKIA tena na Lumia 635.

kaka hakuna haja ya kununua 635 bora ununue 630. 635 ni lumia 630 yenye lte aka 4g, na tz hakuna 4g ina maana ukinunua wewe na mwenye 630 mtakua sawa sawa. Lumia 635 bei yake kubwa kuliko 630
Naheshimu sana mawazo ya wataalamu hasa wewe chief linapokuja suala la simu..nitafanya hivyo..siko Dar..je zimeshafika huko na bei yake(630)
 
Naheshimu sana mawazo ya wataalamu hasa wewe chief linapokuja suala la simu..nitafanya hivyo..siko Dar..je zimeshafika huko na bei yake(630)

zitakua zimeshafika na bei around 300,000
 
Hivi kwa shs.500,000 simu gani nzuri naweza pata isipokuwa kwa simu kama techno na zinazofanana ( mediatek)

kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata

kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320
 
kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata

kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320

Nashukuru sana
 
kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata

kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320

Kwa ushauri wako,ipi ni nzuri zaidi?
 
kaka hakuna haja ya kununua 635 bora ununue 630. 635 ni lumia 630 yenye lte aka 4g, na tz hakuna 4g ina maana ukinunua wewe na mwenye 630 mtakua sawa sawa. Lumia 635 bei yake kubwa kuliko 630

Sorry chief , ina maana hao wanaojiita smile sijui smart hawana hiyo 4 g? Pia kuna wakati nilisikia Voda walifunga 4 g baadhi ya maeneo je haikuwa kweli? mm nipo mkoani ndio maana nauliza
 
Sorry chief , ina maana hao wanaojiita smile sijui smart hawana hiyo 4 g? Pia kuna wakati nilisikia Voda walifunga 4 g baadhi ya maeneo je haikuwa kweli? mm nipo mkoani ndio maana nauliza

mimi pia sipo dar. Voda wanatest 4g mikochen niliskia hivyo na smart wana 4g internet tu sidhan kama wana huduma za kupiga simu na sms.
halafu hizi 4g za simu ndogo huwa zinatarget eneo fulani na kuwa na band chache hivyo unaweza inunua na isifanye kaz kwenye lte zote
 
kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata

kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320

Chief nimeshtuka kidogo kuona hata 1320 unaweza kupata kwa 500,000. Najua Spec zake huwezi kufananisha na 1520.
Naweza kujua 1520 imefika sh.ngapi hapa bongo??
 
Chief nimeshtuka kidogo kuona hata 1320 unaweza kupata kwa 500,000. Najua Spec zake huwezi kufananisha na 1520.
Naweza kujua 1520 imefika sh.ngapi hapa bongo??

ukiitafuta unaipata bei hio, hio 1520 imeshuka sku hz around 400 hadi 500 usd sjui huku inaendaje.
 
Challenge question kwa Lumia Users.

Hivi ni kwa nini nokia lumia nyingi anatengeneza simu haweki front camera na flash light.? Or wanadhani camera ni ya least important katika gadget kama simu.? Lumia 520, 525, 630, 635 etc. Zote hizi hazina hivyo vitu. Why.?

Cc: Chief-mkwawa.
 
Wanatoa edition kwa watu tofauti kulingana na pendeleo lako wapo ambao hawatumii hizo front camera na wala pic za kupiga usiku hawana!nimetumia sana simu za front camera ila nilikua natumia kwa video call tu maana hata nikipiga nayo pic huwa quality ndogo tofauti na main camera,hiyo kwa mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom