Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,715
- 104,873
Nadhani hii simu ni muendelezo wa Lumia 620 Line-up. Nimezipenda specs zake:
-Screen 4.5" (218ppi density)
-Processor Quad-core 1.2 GHz Cortex-A7
-RAM 512MB
-Camera 5MP
Mapungufu yake makuu:
-RAM ndogo 512MB.
-No flash na camera ya mbele.
Faida zake kuu:
-Bei yake officially ni nzuri, USD 190.
-Ina 4G LTE
Inakuja na Windows 8.1 ndani. Sina.mashaka na RAM ya 512MB katika Windows 8.1, still ita run smooth, usiwe na wasiwasi.
Nadhani soon itafika Tanzania. Bei nzuri sana na kwa specs hizo huna haja ya kulalamika.