FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
- Thread starter
- #41
Hiyo Nokia 1 Android yake inaitwa Android GO ipo optimized kwenye low-end hardware ambayo ina 1GB RAM au chini ya hapo, so haiwezi kupata updates za haraka kama Android One ambayo ipo kwenye hizo mid-range nyingine za Nokia.