Nokia N95

mi nna n95 8gb niliinunua mwaka 2008 na mpaka leo hii ninayo. binafsi nimeipenda simu hiyo ndo mana nimekuwa nayo kwa kipindi kirefu, japokuwa napenda kubadili simulakini hii kila wakati bado ninayo. niliinununa tshs. 750,000/- kipindi hiko. sasa hivi sijui bei zake madukani ila ni simu nzuri na utaipenda kwa internet na music na ukiipata nzuri betri yake huwa inakaa kwa muda mrefu. ila ukinunua used kwa mtu be careful na mkanda wa simu kama wameubadilisha unaweza usiifurahie kwa sana maana inasumbua hasa button za up down left na right pamoja na right na left selection key zake zinakuwa na tabia ya ku jiclick mara mbili mbili
 
N95 zipo aina mbili: Fake (ya kichina) na Original : Fake bei ni 50K original 450K kuendelea. N95 imeishapitwa na wakati.
 
N95 zipo za dizaini mbili kiujumla, ya kwnza ni N95 8GB memory capacity na N95 inayoaccept memory card....na haina internal memory kubwa sana...ila kwa mchina anaaina zaidi ya kumi na si mbili kama alivotamka mchaangiaji aliepita..heshima kwenu
 
Daah kaka umeongea kweli !! N95 na N 97 ...do simu Nokia walizozitengeneza vizuri kuliko ... Hata mm kwa kwelii nnayo yangu 32GB ..naitnzu hiyo acha 2 !! Na nshatumia iphone 4 ,,, n nw m using BB 9800 but stil naiamini N 97 ..
Unayesema simu ya zamani huyu umzuri wa Electronics device !! Bt unaangalia wakati only !! Jifunze !!ona na Elimika !!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa mtazamo wangu....N series was the best phone ever produced by Nokia company, i bought N90 in 2007 mpaka leo hii 2012 sijawahi hata kuipeleka kwa fundi everythin is intact. Chezea kila kitu bt dont touch my N90, i love it!!
 
mi nna n95 8gb niliinunua mwaka 2008 na mpaka leo hii ninayo. binafsi nimeipenda simu hiyo ndo mana nimekuwa nayo kwa kipindi kirefu, japokuwa napenda kubadili simulakini hii kila wakati bado ninayo. niliinununa tshs. 750,000/- kipindi hiko. sasa hivi sijui bei zake madukani ila ni simu nzuri na utaipenda kwa internet na music na ukiipata nzuri betri yake huwa inakaa kwa muda mrefu. ila ukinunua used kwa mtu be careful na mkanda wa simu kama wameubadilisha unaweza usiifurahie kwa sana maana inasumbua hasa button za up down left na right pamoja na right na left selection key zake zinakuwa na tabia ya ku jiclick mara mbili mbili

thanks mkuu kwa ufafanuzi wako.wacha niichukue
 
Back
Top Bottom