nokia n9

Mkwanga

Senior Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
146
Reaction score
20
wadau naombeni mnijuze hivi nokia n9 inasupport whatsapp
 
bora nimekuta hii thread, jamani nina n9 hilo, ck hz kila nikiweka line linazima na ukiwasha linawaka na kuzima, ila nikitoa line linapiga mzigo kama kawaida bila kuzimika. so anayeweza kuniadvice please mathinker.
 
mkuu jaribu ku reinstall software ya simu au ku update kama ipo
 
Reactions: mmh
Mkuu Asante xana kiongozi
 
Ntafanya hivo mkuu nikisha excute hiyo action
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ