NOKIA N70-Germany Inauzwa

mazd

Senior Member
Apr 3, 2011
187
32
Wana JF.
Nipo na simu yangu aina ya NOKIA N70-na sifa hizi, inauzwa
  1. color:Silver White.
  2. 2GB Memory Stick.
  3. 3hours talking time-i test it.
  4. Original Made in Germany
  5. No problem detected till now.
  6. support 3G and GSM networks
  7. full wow! effect apps installed.
  8. it has its original headset that hit-as large speakers.
  9. its used for 2years.
kwa mawasiliano ya biashara piga: 0777699153 au hermitscorp@gmail.com
 
Sasa na we we tena unashindwa kuweka bei ,kwanini hutaki kuweka bei yake hapa kabla ya kuanza kusumbuana kwa kupigiana simu kuuliza eti uncle unauza shilingi ngapi,weka mabo hadharani ili mnunuaji ajipime mwenyewe kama anweza kununua au la ,hili tatizo lal kutotaka kuweka bei sijui kwanini linaongezeka kila kukichwa,pamoja na kulalamikiwa,unapomvua mtu nguo bana mvue zote usibakishe Gstring bana
 
Kama umeshaitumia miaka 2 then itakuwa ishadepreciate so kibiashara ninaweza kutoa Tshs 70elfu, ukiona kuna maslahi ni PM
 
mwenye 80,000 anicheck 0653638824..sifa ni kama za hapo juu sema yenyewe ni black..
 
Kama umeshaitumia miaka 2 then itakuwa ishadepreciate so kibiashara ninaweza kutoa Tshs 70elfu, ukiona kuna maslahi ni PM

kaka mimi ninayo bdo mpya nipe elfu80 2fanye biashara.. 2chekiane +255653638824
 
mtu yeyote mwenye display(screen) ya nokia N70-1 aniuzie ukiwa nayo nicheki kwenye 0621137411
 
Back
Top Bottom